Mpaka leo hili tukio linamuuma Sana Putin

Hasara kubwa kuliko zote ni kupoteza biashara ya gas na Mafuta kwa nchi za ulaya. Zimeazimia kuachana kabisa na kununua bidhaa hiyo toka Russia na kutafuta altenative solution. Hii iliwaingizia pesa nyingi urusi, sasa hiyo wataijutia milele
 
Vita si lelemama mkuu. Vitani Kuna uharibifu mkuu was maisha ya watu na silaha. Unapopata nafasi ya kuharibu silaha za adui na nguvu kazi yake fanya hivyo.
Hasara ya kivita Ni Jambo ambalo Ni lazima litokee.
Kwa namna yoyote ile huwezi kuingia vitani na silaha nzito na zote zikapafom vizuri.
Wanajeshi wstakufa. Vifaa vitaharibiwa lakini order ikitolewa mapambano yaendelee hakuna kupinga. Mtapiganaa wee Hadi waliokaa vitini waamue Sasa Vita baasi.
Point Ni kwamba Russia kapata Loss kubwa Sana since WW2
 
Idara ya Usalama ya Urusi FSB imeprove failure kabisa kushindwa kufanya tathmini na kumshauri rais vizuri kabla ya kuingia kwenye hii vita.
 
China naye amepewa onyo kama ataivamia Taiwan atapata hasara isiyomithilika
 
Ukraine watailipa hiyo hasara na itaundwa nyingine bola zaidi kuliko hiyo,kwanza ilikuwa outdated .bandari muhimu zipo chini ya Russia ,hivyo 1.7trilion tsh,mpaka muda huu itakuwa imesharusi tayari,na faida juu!!
 
Idara ya Usalama ya Urusi FSB imeprove failure kabisa kushindwa kufanya tathmini na kumshauri rais vizuri kabla ya kuingia kwenye hii vita.
Uwe inasoma history ya dunia kabla ya kuleta pumba zako hapa janvini. Russia yuko sahihi kabisa, 💯, Marekani walipinga vikali Russia kuweka makombora yao Cuba kipindi cha vita baridi, au kuweka base hapo Venezuela, iweje Marekani waweke base hapo Ukraine, au mlangoni mwa Russia. Ngoja Russia amwonyeshe adabu.
 
Reuters wanasema Russia hajawai pata hasara kubwa Sana ya vita, since WW2 Kama hasara walizopata Ukrein.

Repoti zinadai hakuna kitu kilimuuma Sana Putin Kama Kuzamishwa kwa meli kubwa ya Russia Moskva. Hii meli ya kivita ilimuuma Sana Putin.

Meli iyo yenye thamani ya 1.7t Tsh. Ilizamishwa na majeshi ya Ukrein kwa kutumia drones kutoka uturuki na Ant-ship missile ya Neptune.

Hadi leo wachambuzi wanajiuliza ufanisi wa S300, maana zilikuwepo kwenye meli lakini meli ilienda na maji.

Moskova Ni biggest loss kwa Russia katika Karne ya 21View attachment 2236010
Vita ni vita!! Kitu kikubwa ambacho watu hawakijui au wanakifumbia macho ni kuwa ile meli haikuzamishwa na missile za ukraine!! Ni ajali kama ajali yoyote ile ya moto!!
Ile meli imesheheni anti-missile system za kufa mtu za masafa mbalimbali siyo rahisi kuizamisha kwa kuitupia makombora mawili ya missile!! Wataalamu wa vita wanakuambia meli kama hiyo ukitaka kuishabulia ni kuirushia mamia ya missiles ili kuizidi uwezo wake wa kujilinda na siyo missile 2.

Halafu kama Ukraine wana uwezo wa kuzamisha meli za urusi kwa nini wazamishe hiyo peke yake? ukizingatia kuwa hayo makombora wanayodai kuizamisha wanayatengeneza wenyewe nchini Ukraine!! Kwa nini wanalia lia bandari zao kufungiwa kwa uwepo wa meli za urusi black sea? si wangezizamisha zote?

Tatizo la propaganda ni kwamba mwisho wa siku huwa haishindi kwenye uwanja wa vita!! Hivi Zelensky kweli awe na makombora yenye uwezo wa kuzamisha meli ya urusi halafu aishie kuzamisha meli moja tu??
 
Hasara kubwa kuliko zote ni kupoteza biashara ya gas na Mafuta kwa nchi za ulaya. Zimeazimia kuachana kabisa na kununua bidhaa hiyo toka Russia na kutafuta altenative solution. Hii iliwaingizia pesa nyingi urusi, sasa hiyo wataijutia milele
Wewe uko nyuma ya wakati!! Nchi nyingi zimekubali kulipia gesi kwa ruble tena ni zile zinazonunua gesi na mafuta kwa wingi kama ujerumani, Italia, Austria nk
Waliokataa ni wale ambao walikuwa wananunua gesi kidogo sana kama uingereza!!! Hata hivyo kuna soko kubwa sana la gesi na mafuta India na China zenye jumla ya watu karibuni bilioni 3!!
 
Vita ni vita!! Kitu kikubwa ambacho watu hawakijui au wanakifumbia macho ni kuwa ile meli haikuzamishwa na missile za ukraine!! Ni ajali kama ajali yoyote ile ya moto!!
Ile meli imesheheni anti-missile system za kufa mtu za masafa mbalimbali siyo rahisi kuizamisha kwa kuitupia makombora mawili ya missile!! Wataalamu wa vita wanakuambia meli kama hiyo ukitaka kuishabulia ni kuirushia mamia ya missiles ili kuizidi uwezo wake wa kujilinda na siyo missile 2.

Halafu kama Ukraine wana uwezo wa kuzamisha meli za urusi kwa nini wazamishe hiyo peke yake? ukizingatia kuwa hayo makombora wanayodai kuizamisha wanayatengeneza wenyewe nchini Ukraine!! Kwa nini wanalia lia bandari zao kufungiwa kwa uwepo wa meli za urusi black sea? si wangezizamisha zote?

Tatizo la propaganda ni kwamba mwisho wa siku huwa haishindi kwenye uwanja wa vita!! Hivi Zelensky kweli awe na makombora yenye uwezo wa kuzamisha meli ya urusi halafu aishie kuzamisha meli moja tu??
Iyo meli ilikuwa karibu Sana kwenye black Sea, ndo maana sahiv Putin meli zote amezifudsha nyuma, na Ukrein haina makombora ya kupiga masafa marefu
 
Back
Top Bottom