Mpaka kieleweke Sikuku hii, hata Guta tutazikagua tuu.

LexAid

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
1,931
772
Traffic.JPG
Wananjaa kweli wakati huu wa sikukuu!
 
mwisho wa mwaka huu January Kodi za Nyumba na ada za watoto unadhani mchezo
 
aiseeeee babayangu huku kwetu rombo. mbona noha zinakoma zikipanda zikishusha lazima waache buku kumi
 
Hii kero sijui itaisha vipi halfu ving'ang'anizi kinoma wakiona huna kosa wanachukua hadi buku...
 
Nilikutana nao mitaa ya magomeni njia ya kwa she yahya skuiz wanapenda kutega shule ya makurumla. baada ya kunikuta nipo ok alinambia (huku ajichekesha) "we leta watano apa mimi sikosi kesi ya kukupa ukikikomaa sana nitakubandika ata kesi ya ujambazi" nilicheka sana nikampa elft 3 kiushkaji nikasepa zangu
 
Back
Top Bottom