Mpaka jana mawaziri watatu wamelidanganya bunge hiyo serikali unafikiri itakuwaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpaka jana mawaziri watatu wamelidanganya bunge hiyo serikali unafikiri itakuwaje??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 2, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,310
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  Yaani kwa wanaolifwatilia bunge jana aggrey mwandi alikuwa waziri wa tatu kulidanganya bunge
  alianza na mkulo akafwata ngeleja alipohojiwa kuhusu kusambaza umeme na tena wanaowashutumu ni wale wale
  wa ccm wenzao..baada ya muda jana ilikuwa aibu kwa mjeshi wetu kuanza kubishana hadharani alipoambiwa na mama kilango
  kuna sehemu inaitwa bendera same aijui umeme tangu wappate uhuru ..sasa wewe unadanganya bunge umepeleka umeme wapii.
  \mh mwenyekiti naomba kama ana uhakika tukodi leo charter m ntalipa nikifika tukakuta awajaanza kama ninavyosema atanipa hela yangu...mh aggrey akaona aibu na kusingizia jamani nimeongea na mkurugenzi abh hii amesema wameanzaa na mhandisi wa serikaliamesema wameanza ..mama akamwambi nimetoka sina siku tatu same ...ama same ya wapi ??ilikuwa ni aibu sana wapendwa
  kuona kila wizara inayoleta bajeti inasema uongo sasa najiuliza hata hii ya jairoo nani mkweli??lazima waziri mhusika anjua kila uchafu wa hili binafsi jana nimehitisha kuwaamini hata waziri mmoja pamoja na ndugu yanguu kama unaona sikuamini tenaaaaa nijuavyo ukiashi namwongo unakuwa mwongo

  inatia aibu sana sana sana embu rais badilisha hil baraza
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wenyewe wana wa malkia wanasema like father like son, sasa kikwete atafanya nini kwa wateule wake kama yeye mwenyewe keshaingizwa mkenge zaidi ya mara 12?
   
Loading...