Mpaka awamu hii kuisha, nadhani Zanzibar itakuwa nchi iliyoendelea zaidi Afrika Mashariki

Wewe jamaa mmimi ,mbinafsi na mbaguzi sana kwa Wazanzibari.....huwenda umejaa upotoshaji mwingi kichwani mwako.....

SIEMPRE SERIKALI MBILI ZA JMT
Tetete inauma? bakini na nchi yenu hatuwataki huku kwetu, nyie ndiyo mmejaa ubaguzi tupu tena wa kidini hakuna waziri mkristo kwenye serikali yenu
 
Tumefika pabaya, ukishika nchi unaangalia kwenu zaidi, hata hela inayoenda visiwani hawaangaalii ukubwa wa eneo....yaani kimkoa tu yanaenda mabilioni, ukitafuta wastani na kinachobaki huku Tanganyika si sawa
 
Ni kweli maana pesa za kiarabu haziamini katika riba, wangejitenga wenyewe hata serikali ingewakopesha kwenye mabenki yao bila riba angalau wakafanya maendeleo ya watu.

Bure tu. Mnataka kusema hao waarabu wana upendo wa Agape. Watoe tu hela bure. Watanzania lini tutapevuka kiakili?
 
Mkopo tunalipa bara wao wanapewa bure, huu muungano uvunjwe
Waulize kwanza wanaoung'ang'ania huo muungano wanafaidika nao vipi? Je bara na visiwani nani anafaidika zaidi??
Walioziunganisha hizi nchi walifanya hivyo kwasababu za kiusalama, laikini wanaoulinda huu muungano, wanafanya hizo kwasababu za kiuchumi!
 
Kwanza kwa sasa wana rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid.

Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana.

Zanzibar isipoendelea awamu hii haitakuja kuendelea tena.
Wakati mwingine ni bora haya yawe yanavyokuwa ili wapate akili watake kujitenga. Zanzibar wakijiona wameendelea watataka kuvunja muungano na ndiyo itakuwa ahueni ya Tanganyika.

Zanzibar ni mnyinyaji katika huu muungano
 
Wazanzibar wajinga wenyewe. Hiyo nchi ingekuwa mbali sana kitambo wangeachana na mambo ya bara ya kiccm kiccm. Wangejitenga kitambo wangekuwa mbali sana. Pesa kwao za waarabu ziko nje nje. Wanapigwa pin tu na miccm
Unataka kuwarudisha utumwani ndugu. Wamanga wachache waliobaki hapa kisiwani nao mh mh
 
Tumefika pabaya, ukishika nchi unaangalia kwenu zaidi, hata hela inayoenda visiwani hawaangaalii ukubwa wa eneo....yaani kimkoa tu yanaenda mabilioni, ukitafuta wastani na kinachobaki huku Tanganyika si sawa
Unazungumzia mkoa? Zanzibar ni moja ya nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Kwanza kwa sasa wana rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid.

Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana.

Zanzibar isipoendelea awamu hii haitakuja kuendelea tena.
Kwa hiyo huyu aliyebaki huku bara ndiye blah blah au sio!?
 
Unataka kuwarudisha utumwani ndugu. Wamanga wachache waliobaki hapa kisiwani nao mh mh
Hakuna mambo ya utumwa miaka hii. Wala hakuna tena mambo yaliyotufanya tuungane nao. Hakuna mambo ya nchi nyingine kuvamia nchi nyingine. Dunia imestaarabika siku hizi. Bado hii nchi moja tu haijielewi. Yenyewe haina kipaumbele wala dira. Kila mtu anajivurugia kivyake mtakutana mbele
 
Tetete inauma? bakini na nchi yenu hatuwataki huku kwetu, nyie ndiyo mmejaa ubaguzi tupu tena wa kidini hakuna waziri mkristo kwenye serikali yenu
Unazidi kudhihirisha ujinga ulionao 🤣🤣🤣

Kweli wapumbavu hawaishi ulimwenguni....

Yaani unibadili asili yangu.....unihamishe nyumbani na KITUVONI kwetu kwa sababu tu umepandisha mori wako kichwani mwako ?!!!😳😳

Unajionaje mzee?!!

Nani amekuambia mimi ni Mzanzibari?!!!

Wewe una haki zaidi yangu ya Raia wa huku bara?!!!

Ok twende hivi....

Wewe una haki zaidi ya uraia wa JMT zaidi ya hao wazanzibari unaowabagua ?!!!

Umeingiza udini....unaupenda sana udini eeee?!! Mimi si "mlevi" wa udini.....ila ok nikuulize swali....kwa hiyo Zanzibar hakujawahi kuwa na waziri mkristo?!!! Baraza la Mh.Mwinyi halina waziri mkristo?!!!

Watu wapumbavu huwa wanapoelemewa hoja huungiza "ulevi wao wa udini wa uislamu na ukristo"....

Hivi bado hamjagundua kuwa huo "ulevi wenu wa dini zenu" hauwasaidii katika kujenga CRITICAL ANALYSIS NA FAIDA KWA JAMII PANA?!! mtagundua lini?!! makaburini mkishazikwa?!!!🤣🤣

FYI : Mimi ni raia wa JMT wa upande wa huku bara ,sina damu ya kizanzibari ndani yangu vizazi kwa vizazi ila ni muumini wa taifa hili kwa kuijua vyema historia yake kutoka vyanzo mbalimbali....

Amka mlevi wa DINI na UDINI wewe.....
 
Mbona sister angu kama umepanic? taja Waziri mkristo kwenye baraza la mapinduzi
 
Mbona sister angu kama umepanic? taja Waziri mkristo kwenye baraza la mapinduzi
Unaendeleza ujinga wa ARGUMENTUM AD HOMINEM eeee?!!

Hivi unamjuaje mtu kuwa ni muislam ama mkristo kwa jina tu ?!!! Khaaa kweli ninyi ni walevi wa hizo dini zilizoletwa na majahazi......

Yaani umuone mtu anaitwa Jackline Andrew useme ni lazima...ni lazima....ni lazime awe mkristo....Khaaa😳😳😳

Yaaani umkute Hamida Ali ,Saidi Omari useme kwa kinywa kipana kabisa "ni lazima ni lazima hao watu ni waislam"Khaaa 😲😲......

Hwenda kama ni ukosefu wa elimu jamii....basi ukosefu wa kutofundishwa CRITICAL ANALYSIS toka utotoni sasa unaendeleza UGONJWA WAKO SUGU dada yangu........

Wawe Wayahudi ,Waislam ,Wakristo,wapagani kwangu si hoja kwani dini zao hazitusaidii chochote.....haziwaongozi katika kazi zao......

Nikukumbushe tu hivi kiongozi akiwa Myahudi basi ukiwa wewe ni myahudi(na Wayahudi wote nchini) tu.....anautumia uyahudi kukusaidia maisha yako,kukujengea nyumba,kukupa kazi,kukutoa rumande ukikamatwa,kukulipia bajeti ya pombe unayokunywa mwaka mzima,kukusomeshea vitoto vyako shule za kimataifa?!!!🤣🤣🤣

Mko ulevini mwa hizo dini kugawanywa na kujipoteza kimaendeleo......
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom