Mozunde Chikweve: Kwenye Siasa(Maisha) tenda Mema, huwezi jua kesho yako

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
ZAMBIA
Kijana Aliyekuwa Amefungwa Jela Nchini Zambia Chini Ya Uongozi Wa Rais Edgar Lungu Aokota Dodo Chini Ya Mnazi.
Wakati Wa Utawala Wa Rais Edgar Lungu Kijana Huyu Ajulikanae Kwa Jina Mozunde Chikweve Alikuwa Mpambanaji Na Mpigania Haki Za Rais Kisiasa Wa Chama Cha Upinzani Cha UPND Kikiongozwa Na Ndugu Hichilema Hakainde ..(H H)

Rais Edgar Lungu Kupitia Jeshi Lake La Polisi Aliwakamata Na Kuwafunga Jela Wote Wawili.
Wakiwa Gerezani Kijana Huyu Alitumia Jitihada Zake Zote Kumlinda H H Gerezani Kutokana Na Unyama Ambao Wafungwa Hufanyiana Gerezani. Alidiriki Hata Kupigana Gerezani Kwaajili Ya Rafiki Yake H.H Asionewe Na Wafungwa Wenzake.

Wamesota Gerezani Zaidi Ya Miaka 6 Pamoja Wakipata Mateso Kabla Ya Hukumu.
Bahati Nzuri H.H Alitoka Gerezani Baada Ya Kutumia Pesa Nyingi Sana Za Kuimaliza Kesi Yake.

Na Baada Ya Kutoka Gerezani H.H Aliendelea Na Mchakato Wa Kugombea Urais Wa Zambia Kushindana Na Rais Edgar Lungu Aliyekuwa Madarakani.
Mungu Si Athumani Wala Abdalah Uchaguzi Ukafanyika Na H.H Akamshinda Rais Edgar Lungu Na Akatangazwa Mshindi.

Baada Ya H.H Kuapishwa Kuwa Rais We Zambia Alimuamuru Mkuu Wa Gereza Kumtoa Haraka Kijana Huyu Gerezani Kama Shukurani Yake Kwa Kijana Huyu Kumlinda HH Gerezani Wakati Walipokuwa Wamefungwa Pamoja.
Na Akaona Zawadi Ya Kumtoa Gerezani Tu Ni Kama Haitoshi Akaamuru Kijana Huyu Awe Bodyguard Wake.

Swala Likaja Kwamba Bodyguard Huyu Hajapitia Mafunzo Yoyote Ya Kijeshi. Lakini Kwakuwa Rais Keshasema Na Hakuna Wa Kumpinga.. Kijana Huyu Alipandishwa Cheo Haraka Toka Raia Mpaka Luteni Kanali Na Akamuamuru Mkuu Mpya Wa Jeshi Ampe Mafunzo Ya Haraka Ya Kutumia Bunduki Tu Na Mambo Mengine Atajifunza Akiwa Tayari Ni Afisa Wa Jeshi..!!

Kijana Alivalishwa Nguo Za Kijeshi Na Kuvishwe Manyota Yake Mabegani Akiwa Hajui Hata Kupiga Kwata!!!
Amri Hiyo Ilitekelezwa Haraka Na Sasa Huyu Ndiye Bodyguard Wa Rais Mpya Wa Zambia Mheshimiwa H.H.
.
.
Hapa La Kujifunza Ni Kwamba Hakuna Aijuae Kesho Na Usimdharau Usiyemjua..!!
.
.
Kwa Hasira Rais Mpya Wa Zambia Mhe. H H Aliamua Kumfukuza Kazi IGP Wa Zambia Kwa Kuwafunga Gerezani.

IMG-20210919-WA0036.jpg
 
Huyo jamaa mfupi mwenye kofia kama flampeni ni sanamu ya mtu, picha au binadamu halisi.
 
Kijana Aliyekuwa Amefungwa Jela Nchini Zambia Chini Ya Uongozi Wa Rais Edgar Lungu Aokota Dodo Chini Ya Mnazi huko Zambia.

Wakati Wa Utawala Wa Rais Edgar Lungu Kijana Huyu Ajulikanae Kwa Jina Mozunde Chikweve Alikuwa Mpambanaji Na Mpigania Haki Za Rais Kisiasa Wa Chama Cha Upinzani Cha UPND Kikiongozwa Na Ndugu Hichilema Hakainde ..(H H)

Rais Edgar Lungu Kupitia Jeshi Lake La Polisi Aliwakamata Na Kuwafunga Jela Wote Wawili. Wakiwa Gerezani Kijana Huyu Alitumia Jitihada Zake Zote Kumlinda H H Gerezani Kutokana Na Unyama Ambao Wafungwa Hufanyiana Gerezani. Alidiriki Hata Kupigana Gerezani Kwaajili Ya Rafiki Yake H.H Asionewe Na Wafungwa Wenzake.

Wamesota Gerezani Zaidi Ya Miaka 6 Pamoja Wakipata Mateso Kabla Ya Hukumu. Bahati Nzuri H.H Alitoka Gerezani Baada Ya Kutumia Pesa Nyingi Sana Za Kuimaliza Kesi Yake.

Na Baada Ya Kutoka Gerezani H.H Aliendelea Na Mchakato Wa Kugombea Urais Wa Zambia Kushindana Na Rais Edgar Lungu Aliyekuwa Madarakani. Mungu Si Athumani Wala Abdalah Uchaguzi Ukafanyika Na H.H Akamshinda Rais Edgar Lungu Na Akatangazwa Mshindi.

Baada Ya H.H Kuapishwa Kuwa Rais We Zambia Alimuamuru Mkuu Wa Gereza Kumtoa Haraka Kijana Huyu Gerezani Kama Shukurani Yake Kwa Kijana Huyu Kumlinda HH Gerezani Wakati Walipokuwa Wamefungwa Pamoja. Na Akaona Zawadi Ya Kumtoa Gerezani Tu Ni Kama Haitoshi Akaamuru Kijana Huyu Awe Bodyguard Wake.

Swala Likaja Kwamba Bodyguard Huyu Hajapitia Mafunzo Yoyote Ya Kijeshi. Lakini Kwakuwa Rais Keshasema na Hakuna Wa Kumpinga.. Kijana Huyu Alipandishwa Cheo Haraka Toka Raia Mpaka Luteni Kanali Na Akamuamuru Mkuu Mpya Wa Jeshi Ampe Mafunzo Ya Haraka Ya Kutumia Bunduki Tu Na Mambo Mengine Atajifunza Akiwa Tayari Ni Afisa Wa Jeshi..!!

Kijana Alivalishwa Nguo Za Kijeshi Na Kuvishwe Manyota Yake Mabegani Akiwa Hajui Hata Kupiga Kwata! Amri Hiyo Ilitekelezwa Haraka Na Sasa Huyu Ndiye Bodyguard Wa Rais Mpya Wa Zambia Mheshimiwa H.H.

Hapa La Kujifunza Ni Kwamba Hakuna Aijuae Kesho Na Usimdharau Usiyemjua.

Kwa Hasira Rais Mpya Wa Zambia Mhe. H H Aliamua Kumfukuza Kazi IGP Wa Zambia Kwa Kuwafunga Gerezani.

Nimei-copy kwa Peter Chagga.

IMG_20210919_170932_771.jpg
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu, nazungumzia akili, siyo elimu, siku zote hupenda haki.

Rais wa Zambia ametenda vema, ameamua kuwa na bodyguard mwenye akili.

Ukiona kiongozi ni dikteta, ukiona kiongozi anabambikia watu kesi, ujumbe wa kwanza unaotakiwa kuupata ni kuwa mna kiongozi asiye na akili.

Sisi tumeharibu jeahi letu, kwa kuona kuwa mtu asiye na akili anaweza kuwa askari. Ona wanayoyafanya!! Mtu asiye na akili ana uwezo wa kufanya chochote, hata ambacho huwezi kudhania.

Ni rahisi sana kwa mtu asiye na akili kuonea, kubambikia watu kesi, kukufunga, kuua au kitesa. Ukibahatika kukutana na askari yeyote mwenye akili, ndani ya jeshi letu la Polisi, hata siku moja, hawezi kukutesa, japo wa namna hiyo ni wachache sana, hasa wale walioenda huko kwa sababu tu ya tatizo la ajira.
 
Back
Top Bottom