Mozilla watoa beta ya firefox quantum

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,689
39,757
Kama mwaka mmoja uliopita mozilla walitangaza project yao mpya inayoitwa project quantum, lengo lake ni kuimprove engine yao ya Gecko ili iwe ya kisasa zaidi, improvement hii mpya inaitwa servo. Project hii haijakamilika lakini mpaka sasa ambapo wametoa beta na kutuonjesha ladha ya quantum tayari Mozilla wanasema firefox imekuwa na speed mara mbili zaidi.
uianL5h.jpg

Sorry joseverest

Firefox wanasema browser yao ina speed kuload page sababu ya quantum css ambayo ni improvement ndani ya servo, unaweza kuangalia hii video baina ya firefox na chrome

Pia tofauti na improvement ya engine firefox wametoa muonekano mpya unaoitwa photon, muonekano huu unaifanya pia iwe nyepesi

aHR0cDovL21lZGlhLmJlc3RvZm1pY3JvLmNvbS8xLzkvNzE0MTQxL29yaWdpbmFsL3Bob3Rvbi11aS5qcGc=

Mozila wameahidi huu ni mwanzo tu mambo makubwa yanakuja kwenye engine hii, kwa wale wanaotaka kuijaribu beta ya hii mozila mpya pakua hapa
Try New Browser Features in Pre-Release Versions | Firefox
 
lkn tutambue kuwa beta version huwa zina kua na bugs nyingi so nivema kwa wote tutakao jaribu hii beta ya mozila quantum tusi save log in details zetu ili kuensure security ya account zetu kwasabab black hat hackers nao wapo on fleek sasa hiv( ni mtizamo wangu tu)
 
Hizo features nyingi za kiafrika ni zipi hizo mkuu?
- za kuchakachua, utaweza kuangalia chanell za Bisskey na powervu ambazo zimefungwa.

-za kudownload movie bure na kuangalia service nyengine za online kama. youtube

-uwezo wa kuingia internet na kutumia wifi/modem

weakness yake sijaona sehemu walioandika kama inasuport DVB-T2 ambayo ni muhimu kudaka chanell za local na antenna.

kama kuna mjuzi zaidi atakusaidia yenye mambo hayo hapo juu pamoja na Terrestrial.
 
awa jamaa kadiri wanavyotoa version mpya , ndivyo matumizi ya ram ndio yanazidi kuwa mabovu, na stick na firefox 50, iko ram friendly, v.56 ina panda mpaka 2gb uko ikichanganya, v.50 haizidi 400mb, with adds on disabled
 
Napenda kujua ipi ni browser nzuri kwa matumizi ya cm na ipi ni bora zaidi kwenye pc naomba majibu plz
inategemea na matumizi na unachotaka kufanya.

kama wewe ni mtumiaji wa kawaida unaweza tumia google chrome kote pc na simu.

kama unataka kusave data kwenye simu au una simu yenye specs ndogo au unataka kubrowse upesi upesi tafuta opera mini au ucweb mini.

kama una matumizi mengi na ni power user firefox ipo vizuri zaidi.
 
Chief hapa unamaanisha kwa mtu wa matumizi ya kawaida n yule wakusoma tu vtu net? Na huyu wa matumizi makubwa yani POWER USER matumizi yake huyu n ya aina gani?? nataka kufahamu hlo ili nijijue nipo Group gani nadhani itanisaidia kujua Browser yangui ndo inashda au mashne au net nayotumia or what..Nichambulie tafadhali chief hawa watu wawili matumizi yao ili nijue nipo wapi.
 
mkuu ukitumia chrome unapata shida yoyote? sababu matumizi mengi ya simu ni ya kawaida.

mimi nikiwa na simu nalazimika kutumia firefox nikitaka kudownload video ya online, hasa zile ambazo sio maarufu app kama videorder haziwezi kudetect. kuna plugin ya FVD video yoyote inadetect kama idm vile.

firefox ina plugins nyingi sana, hasa version inayotumia engine ya zamani. hii engine mpya ime discontinue legacy plugins nyingi. hivyo ukihisi kuna kitu kama unakishindwa kukifanya na browser yako basi firefox inaweza kuwa na plugin kwa ajili ya hiko kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom