Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,704
- 39,778
Kama mwaka mmoja uliopita mozilla walitangaza project yao mpya inayoitwa project quantum, lengo lake ni kuimprove engine yao ya Gecko ili iwe ya kisasa zaidi, improvement hii mpya inaitwa servo. Project hii haijakamilika lakini mpaka sasa ambapo wametoa beta na kutuonjesha ladha ya quantum tayari Mozilla wanasema firefox imekuwa na speed mara mbili zaidi.
Sorry joseverest
Firefox wanasema browser yao ina speed kuload page sababu ya quantum css ambayo ni improvement ndani ya servo, unaweza kuangalia hii video baina ya firefox na chrome
Pia tofauti na improvement ya engine firefox wametoa muonekano mpya unaoitwa photon, muonekano huu unaifanya pia iwe nyepesi
Mozila wameahidi huu ni mwanzo tu mambo makubwa yanakuja kwenye engine hii, kwa wale wanaotaka kuijaribu beta ya hii mozila mpya pakua hapa
Try New Browser Features in Pre-Release Versions | Firefox