Mozilla watoa beta ya firefox quantum

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,004
2,000
Nahitaji Laptop
jaribu epiccomputers wapo city mall, freedom computers jmall, na laptop city wapo morocco na samora lile jengo la vioo liliopinda.

kumbuka kwa i3 unatafuta i3 6100u ama i3 7100u ukikosa kabisa ni i3 6006u. chini ya hapo usichukur i3 za u za 5th na 4th gen kama i3 4004u na i3 5005u zitakukwamisha. wanazo hao jamaa watajaribu kukuchanganyia hizo i3 za kizamani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom