Mozilla Firefox haifanyi kazi

kuna uwezekano mkubwa anazingua, sababu firefox sio website, ni browser. na kazi ya browser ni kuturahisishia tu hizo website kwa maandishi na mapicha, ni ngumu browser iende offline, unless ni server based browser kama operamini na ucweb mini.
asante, nami naona huyo analeta mchezo kwenye mambo ya msingi
 
Back
Top Bottom