Moze Iyobo unaenda kupotea usiposikia hili wazo

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,395
13,358
Mimi ni shabiki wa huyu mwamba wa dance pale WCB.

Mose mdogo wangu umejiachia sana unene na kitambi. Kama unataka mema kwenye kazi yako hima hamia gym na anza diet.

Dancers wazuri kama Michael Jackson, Usher, Chris Brown huwa hawana vitambi kama wewe.

Nimeambatanisha picha za video mpya ya Diamond na Koffi.

Hujachelewa anza sasa.
 

Attachments

  • Screenshot_20201206-172847_YouTube.jpg
    Screenshot_20201206-172847_YouTube.jpg
    73.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20201206-172824_YouTube.jpg
    Screenshot_20201206-172824_YouTube.jpg
    75 KB · Views: 3
Kumfananisha Michael jackson,usher,chria brown na iyobo ni matusi makubwa mno aiseee nimesikitikaaaa

Iyobo ni mnenguaji tu sio mwanamuziki hivyo ungemfananisha na super nyamwela,au wanenguaji wa koffi olomide.

Pili sio kila aendae gym anapungua ni mpaka yeye mwenyewe aaamue kupungua.

Anyway pamoja na unene bado mauno yapo(nilimuona tbc kwenye kampeni za ccm)
 
Kuna umri ukishafika mwili hua unakuja tuu hata ukilala jim haisaidii sana. Na kuna kazi ambazo zinaendana na umri, umri ukishakutupa mkono inabidi ubadilishe aina ya kazi uwaachie vijana.

Ni kama wacheza mpira umri ukishaenda ndio basi tena. Sasa Iyobo nadhani anaitafuta 45 so mwili lazima utakuja tu.
 
Kuna umri ukishafika mwili hua unakuja tuu hata ukilala jim haisaidii sana. Na kuna kazi ambazo zinaendana na umri, umri ukishakutupa mkono inabidi ubadilishe aina ya kazi uwaachie vijana. Ni kama wacheza mpira umri ukishaenda ndio basi tena.. Sasa Iyobo nadhani anaitafuta 45 so mwili lazima utakuja tu.
45
 
Moja ya scene mbovu kwenye video ndo hyo , pamoja na ya makofia ya free mason , ila lisongi lipo pouw
 
Back
Top Bottom