Msumbiji: Mafuta kuchotwa Baharini inawezekana vipi?

Genecandy

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
491
882
Wakubwa salaam
Kuna clip inasambaa kwa kasi kutoka Mozambique Mkoa wa cabo Delgado almaarufu kama Pemba wananchi wakichota kinachosemekana ni mafuta ukingoni mwa bahari

Mi swali langu ni hii kitu inawezekana kweli? Yaani mafuta yachotwe bila kuchanganyika na maji naomba wajuzi watujuze jmn!

Naambatanisha clip yenywe wanaongea Kireno
 
ina maana walishaanza kuchimba mafuta? mi nilidhani kuwa wanakaribia kuanza kuchimba gas
Hawajaanza mkuu kuna vita maeneo hayo kati ya alshababy na majeshi hvyo kazi imesimama sa cjui hayo wanayochota yamevuja tu
 
hii ndo maana kamilii kwa nini msumbiji kuna vikundi vinyoitwa vya kigaidiii...
wesee limeenea hapooo
 
Meli ya Sumu imemwaga hapo😂
Duuh miaka ya tisini kulikuwa na ushenzi sana wa kumwaga takataka za sumu bahari ya hindi ukanda wa africa
Ndio kina michiriku imepata majina hapo
 
Back
Top Bottom