Moyo wangu jamani.....

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,105
2,499
Nina GF wangu,tuna umri wa miaka karibia sita hv ndani ya uhusiano wetu!

Lkn natamani saana kumuoa ila moyo unakuwa mzito kwenda kujitambulisha kwa ndugu zake hata kwa wazazi wake,lkn nilishamtambulisha kwa wazazi wangu lkn hawakujibu chochote hadi sasa,mpaka najiuliza inakuwaje? nikafikiri labda wameona siyo chaguo langu.Ukweli wanamjua na mama yake ananijua.

Hadi nafikiria kama ni chaguo la kweli au la! Ni mzuri na moyo wake ni mzuri hana tatizo ila wakati mwingine hisia zangu zinakuwa chini hadi naogopa! Wajameni hili ni tatizo? naombeni Ushauri nifanyeje hapa.

Hili lote nafikiri chanzo ni MOYO WANGU KUWA chini au nimekosea?
 
Mkuu pole sana kwa hili linalokusibu. Hebu fafanua ni sababu zipi ambazo wakati mwingine zinafanya hisia zako kuhusu kumuoa huyo mpenzi wako zinakuwa chini hadi kuogopa. Kwa maoni yangu sidhani hizi hisia zinakuja bila ya kuwepo sababu zozote zile.
 
Back
Top Bottom