Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Hatari sana
Mfano wa kuigwa
Alipo?Hakuna na hajawahi kutokea hapa duniani! Maumivu ya kuchapiwa anayejua ni yule anayefumania! Kuna jamaa yangu mmoja alimeza jiwe kwa hasira alizokuwa nazo baada ya fumanizi hah hah hatari sanaaa