Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,561
- 19,056
Hakuna roho kongwe Shadeeya81yrs Daah.
Hakuna roho kongwe Shadeeya81yrs Daah.
Kula pesa acha uwogaMwisho wa kiinua mgongo ni majuto mkuu
Nimenukuu maneno ya Wahenga hayoKuumbe.
Duuh! Kule kwetu tunasema "Kaazi kweyi kweyi"
Habarini wakuu..... moyo wa huyu mzee umenidondokea ...ilikuwa hivi
Mzee kaja ofisini kwetu alikuwa anahitaji uduma ya kiofisi basi nikamuudumia vizuri tu ...mzee kaanza kunisifia et nimemuudumia vizuri so anahitaji no yangu ili awe ananisalimia bila hiyana nikampa no .
Mzee kufika home kwake tu akaanza kupiga simu ananisifia sana .. so akawa anapiga sana simu anaomba niende kumtembelea kwake mimi nikawa sitaki ...lakini alikazana sana ...nikaona isiwe kesi ngoja nikamsikilize basi nikaenda kwake.
Mzee akaanza kueleza ya moyoni kwamba ananipenda sana toka ameniona pale ofisini hapati hata usingizi ananiwaza tu mimi anahitaji niwe nae karibu ....mke wake alishafariki yuko pekee yake na vijana wakumsaidia hapo home.....kimaisha yuko vizuri sana kwani anavijana wakubwa wanaomtunza ....kijana wake mkubwa yuko Tokyo alizaa na mzungu kipindi anasoma uko.....na mengine mengi amenielezea...
..mzee ananipenda sana kwani kwa siku anaweza anipigie simu mara 5 anauliza naendeleaje na kama ninashida nimwambie ....anamtuma mpaka dereva wake aje anione kama niko poa uko job !
Shida iliyopo mzee anaumwa kisukari ....mimi naogopa kumkubalia coz anaweza kuomba shoo nikampa akanifia bureeeee kutokana na hilo tatizo la sukari
Nikisema nimkatie mawasiliano roho inaniuma naona kama atasononeka sana coz mzee anahitaji sana faraja yangu ...yani akiniona tu unaona kabisa vile anakuwa happy
Ikumbukwe mzee ana 81age
Ushauri plz nifanyeje?
Hahahaaa. LolNimenukuu maneno ya Wahenga hayo
Amekuambia ana kisukari tu?
itabidi iwe hivyo81 my sister kazeeka sana mpende tu kama baba yako sio kimapenzi
Majuto yapi hapo? Wewe mfanye akuoe kisheria. Ksbb karibia anakufa,utakuwa kama jacklen wa mengi. Utakuwa tajiri baada ya miaka miwili tu. Kwanza utakuwa na thawabu ksbb utakuwa umemtunza mzee mpaka kifo chake. Wapende sana watoto wake ili wakuheshimu na wakutunze akifa mzee. Si vibaya ukazaa na mtoto wake mmoja utakaemtunuku na weweMwisho wa kiinua mgongo ni majuto mkuu
Mkubalie ule kiinua mgongo
Kaiva cyoKama uko 30+ wewe sio m bichi... Mkubalie tu
Amini usiamini,..."sukari-guru ya babu" ni tamu!Kaionje!😂😂😂😂😂😂Habarini wakuu..... moyo wa huyu mzee umenidondokea ...ilikuwa hivi