Moyo wa huyu mzee umenidondokea

Habarini wakuu..... moyo wa huyu mzee umenidondokea ...ilikuwa hivi
Mzee kaja ofisini kwetu alikuwa anahitaji uduma ya kiofisi basi nikamuudumia vizuri tu ...mzee kaanza kunisifia et nimemuudumia vizuri so anahitaji no yangu ili awe ananisalimia bila hiyana nikampa no .
Mzee kufika home kwake tu akaanza kupiga simu ananisifia sana .. so akawa anapiga sana simu anaomba niende kumtembelea kwake mimi nikawa sitaki ...lakini alikazana sana ...nikaona isiwe kesi ngoja nikamsikilize basi nikaenda kwake.
Mzee akaanza kueleza ya moyoni kwamba ananipenda sana toka ameniona pale ofisini hapati hata usingizi ananiwaza tu mimi anahitaji niwe nae karibu ....mke wake alishafariki yuko pekee yake na vijana wakumsaidia hapo home.....kimaisha yuko vizuri sana kwani anavijana wakubwa wanaomtunza ....kijana wake mkubwa yuko Tokyo alizaa na mzungu kipindi anasoma uko.....na mengine mengi amenielezea...
..mzee ananipenda sana kwani kwa siku anaweza anipigie simu mara 5 anauliza naendeleaje na kama ninashida nimwambie ....anamtuma mpaka dereva wake aje anione kama niko poa uko job !

Shida iliyopo mzee anaumwa kisukari ....mimi naogopa kumkubalia coz anaweza kuomba shoo nikampa akanifia bureeeee kutokana na hilo tatizo la sukari

Nikisema nimkatie mawasiliano roho inaniuma naona kama atasononeka sana coz mzee anahitaji sana faraja yangu ...yani akiniona tu unaona kabisa vile anakuwa happy

Ikumbukwe mzee ana 81age

Ushauri plz nifanyeje?

81 my sister kazeeka sana mpende tu kama baba yako sio kimapenzi
 
Mwisho wa kiinua mgongo ni majuto mkuu
Majuto yapi hapo? Wewe mfanye akuoe kisheria. Ksbb karibia anakufa,utakuwa kama jacklen wa mengi. Utakuwa tajiri baada ya miaka miwili tu. Kwanza utakuwa na thawabu ksbb utakuwa umemtunza mzee mpaka kifo chake. Wapende sana watoto wake ili wakuheshimu na wakutunze akifa mzee. Si vibaya ukazaa na mtoto wake mmoja utakaemtunuku na wewe
 
Mpe tu hiyo papachu ajifariji mzee wa watu.kuhusu kisukari haina tatizo kabisa wala usijari kwa hilo.
 
Habarini wakuu..... moyo wa huyu mzee umenidondokea ...ilikuwa hivi
Mzee kaja ofisini kwetu alikuwa anahitaji uduma ya kiofisi basi nikamuudumia vizuri tu ...mzee kaanza kunisifia et nimemuudumia vizuri so anahitaji no yangu ili awe ananisalimia bila hiyana nikampa no .
Mzee kufika home kwake tu akaanza kupiga simu ananisifia sana .. so akawa anapiga sana simu anaomba niende kumtembelea kwake mimi nikawa sitaki ...lakini alikazana sana ...nikaona isiwe kesi ngoja nikamsikilize basi nikaenda kwake.
Mzee akaanza kueleza ya moyoni kwamba ananipenda sana toka ameniona pale ofisini hapati hata usingizi ananiwaza tu mimi anahitaji niwe nae karibu ....mke wake alishafariki yuko pekee yake na vijana wakumsaidia hapo home.....kimaisha yuko vizuri sana kwani anavijana wakubwa wanaomtunza ....kijana wake mkubwa yuko Tokyo alizaa na mzungu kipindi anasoma uko.....na mengine mengi amenielezea...
..mzee ananipenda sana kwani kwa siku anaweza anipigie simu mara 5 anauliza naendeleaje na kama ninashida nimwambie ....anamtuma mpaka dereva wake aje anione kama niko poa uko job !
Shida iliyopo mzee anaumwa kisukari ....mimi naogopa kumkubalia coz anaweza kuomba shoo nikampa akanifia bureeeee kutokana na hilo tatizo la sukari
Nikisema nimkatie mawasiliano roho inaniuma naona kama atasononeka sana coz mzee anahitaji sana faraja yangu ...yani akiniona tu unaona kabisa vile anakuwa happy
Ikumbukwe mzee ana 81age
Ushauri plz nifanyeje?
Amini usiamini,..."sukari-guru ya babu" ni tamu!Kaionje!😂😂😂😂😂😂
 
mpelekee mzee watu nundu hiyo akaile,maana enzi za ujana wao walikuwa hawali marinda
 
Akipata anachokitaka utaona kama hizo simu atakupigia sana kama mwanzoni
 
Back
Top Bottom