Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Sio mimi jamani ni moyo. Mnaweza nilaumu mpaka kesho lakini Mimi mweupe pee kwa hili sijakosea. Ni moyo ndio unataka, na moyo ukitaka Hamna jinsi upe unachokitaka ili moyo utulie akili na mwili viendelee na mambo mengine.
Wakati wahitimu wa vyuo wakigombani ajira chache mitaani. Wadada wa JF wanapishana na gari LA mshahara. Ni takribani mwezi mmoja nimetoa tangazo la uhitaji wa Mrs. Nebuchadnezzar lakini mpaka Leo sijapokea barua ya maombi. Hivi, tuseme wadada wa JF mmeolewa wote au wote mna wachumba na mabwana?
Anyway, napunguza vigezo...ikitokea nimekosa kabisa...nawalaani wadada wote ambao hamjaolewa nabado mnazubaa. Hamtaolewa tena.
Haya kama una hivi vigezo, unanifaa.
1. Umri: 18-24 mwisho
2. Urefu: Awe mfupi sawa, awe mrefu sawa. Sina ubaguzi.
3. Rangi: Yyote ile...ila asiwe amejichubua. Sitakiiii.
4. Dini: Awe mkristo sawa awe muislamu sawa. Asiwe na dini sawa.
6. Elimu: Awe anajua kusoma na kuandika tu
Nimemaliza na hapa nikose sasa...tutaona tena kama mtapata bahati kama hii.