Moyo umeniambia

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Sio mimi jamani ni moyo. Mnaweza nilaumu mpaka kesho lakini Mimi mweupe pee kwa hili sijakosea. Ni moyo ndio unataka, na moyo ukitaka Hamna jinsi upe unachokitaka ili moyo utulie akili na mwili viendelee na mambo mengine.

Wakati wahitimu wa vyuo wakigombani ajira chache mitaani. Wadada wa JF wanapishana na gari LA mshahara. Ni takribani mwezi mmoja nimetoa tangazo la uhitaji wa Mrs. Nebuchadnezzar lakini mpaka Leo sijapokea barua ya maombi. Hivi, tuseme wadada wa JF mmeolewa wote au wote mna wachumba na mabwana?

Anyway, napunguza vigezo...ikitokea nimekosa kabisa...nawalaani wadada wote ambao hamjaolewa nabado mnazubaa. Hamtaolewa tena.

Haya kama una hivi vigezo, unanifaa.

1. Umri: 18-24 mwisho

2. Urefu: Awe mfupi sawa, awe mrefu sawa. Sina ubaguzi.

3. Rangi: Yyote ile...ila asiwe amejichubua. Sitakiiii.

4. Dini: Awe mkristo sawa awe muislamu sawa. Asiwe na dini sawa.

6. Elimu: Awe anajua kusoma na kuandika tu

Nimemaliza na hapa nikose sasa...tutaona tena kama mtapata bahati kama hii.
 
1. Umri: Wowote ule

ha ha ha ha ha watakuja mkuu we wasubiri tu
 
daftari la kujiandikisha kupiga kura lipo kwenye mitaa yenu hivo kila mwananchi mwenye haki ya kuchagua viongozi awapendao aende akajiandikishe.

wahi sasa kuepuka usumbufu wa foleni.
 
Niliona kile kigezo cha awe elimu angalao Masters degree au Degree ya kwanza ya nursing nikacheka hihihihiiii.
Kwakuwa hicho kigezo umekitoa sasa utapata.

Break a leg!!
 
Dunia ni kubwa sana.
Wakati wengine tunawindwa usiku na mchana, wengine wanawinda usiku na mchana.
Natamani nikupe mmoja kati ya wengi wanaonisumbua pm but am less capable.
 
Sio mimi jamani ni moyo. Mnaweza nilaumu mpaka kesho lakini Mimi mweupe pee kwa hili sijakosea. Ni moyo ndio unataka, na moyo ukitaka Hamna jinsi upe unachokitaka ili moyo utulie akili na mwili viendelee na mambo mengine.

Wakati wahitimu wa vyuo wakigombani ajira chache mitaani. Wadada wa JF wanapishana na gari LA mshahara. Ni takribani mwezi mmoja nimetoa tangazo la uhitaji wa Mrs. Nebuchadnezzar lakini mpaka Leo sijapokea barua ya maombi. Hivi, tuseme wadada wa JF mmeolewa wote au wote mna wachumba na mabwana?

Anyway, napunguza vigezo...ikitokea nimekosa kabisa...nawalaani wadada wote ambao hamjaolewa nabado mnazubaa. Hamtaolewa tena.

Haya kama una hivi vigezo, unanifaa.

1. Umri: 18-24 mwisho

2. Urefu: Awe mfupi sawa, awe mrefu sawa. Sina ubaguzi.

3. Rangi: Yyote ile...ila asiwe amejichubua. Sitakiiii.

4. Dini: Awe mkristo sawa awe muislamu sawa. Asiwe na dini sawa.

6. Elimu: Awe anajua kusoma na kuandika tu

Nimemaliza na hapa nikose sasa...tutaona tena kama mtapata bahati kama hii.
Yani kwa style hii uliyoionyesha ,ata dini yyte tu...aisee sijui km kweli ww una nia ya kuoa...haiwzkn we kila kitu unakubali kuwa ni vyvyte tu
 
Dunia ni kubwa sana.
Wakati wengine tunawindwa usiku na mchana, wengine wanawinda usiku na mchana.
Natamani nikupe mmoja kati ya wengi wanaonisumbua pm but am less capable.
Mmmh hapo ss sidhn km kuna ukweli, yn we mti hawakufaham lkn waje tu pm usiku na mchn...duh
 
Mh si mchezo.

Kama unaishi Dar. Anza maisha ya kupata lunch kantini za IFM. Yaani nenda pale kula wiki mfululizo halafu wiki inayofuata anza kuchagua mke.

Au hakikisha jioni unavitembelea vituo vya basi vya Posta au Makumbusho. We ukifika simama tu hata kwa saa mbili kila siku.

Ukishindwa na hapo swala lako litakua ama ni udomo zege au unataka mdada ajichanganye halafu siku ya siku umpost sura humu.
 
Sio mimi jamani ni moyo. Mnaweza nilaumu mpaka kesho lakini Mimi mweupe pee kwa hili sijakosea. Ni moyo ndio unataka, na moyo ukitaka Hamna jinsi upe unachokitaka ili moyo utulie akili na mwili viendelee na mambo mengine.

Wakati wahitimu wa vyuo wakigombani ajira chache mitaani. Wadada wa JF wanapishana na gari LA mshahara. Ni takribani mwezi mmoja nimetoa tangazo la uhitaji wa Mrs. Nebuchadnezzar lakini mpaka Leo sijapokea barua ya maombi. Hivi, tuseme wadada wa JF mmeolewa wote au wote mna wachumba na mabwana?

Anyway, napunguza vigezo...ikitokea nimekosa kabisa...nawalaani wadada wote ambao hamjaolewa nabado mnazubaa. Hamtaolewa tena.

Haya kama una hivi vigezo, unanifaa.

1. Umri: 18-24 mwisho

2. Urefu: Awe mfupi sawa, awe mrefu sawa. Sina ubaguzi.

3. Rangi: Yyote ile...ila asiwe amejichubua. Sitakiiii.

4. Dini: Awe mkristo sawa awe muislamu sawa. Asiwe na dini sawa.

6. Elimu: Awe anajua kusoma na kuandika tu

Nimemaliza na hapa nikose sasa...tutaona tena kama mtapata bahati kama hii.

Je, wewe mwenyewe utapenda kuolewa ikiwa mwanamke ajitokezi kwako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom