Nimeona Ila nadhan ni error ndogo mkuuKuna mahali nimesoma violet kafariki au ni mimi naona double double?
nilitaka kuconfirm tuNimeona Ila nadhan ni error ndogo mkuu
Nmekumith dada daahHii story ina arosto narudia tena ina arosto kwahiyo kelele za arosto zisiwepo kukiwa na arosto muwe wavumilivu tu mpaka itakapowekwa
Mkuu umensahau sana mdg wako daahIweke bwana akiikatisha basi
yawezekanaUmesoma double double tu maa
Shangazi arosto km lote..tuhurumieNarudia tena jamani niliwaambia hii story ina arosto kukiwa na arosto mvumilie