Moyo na roho yangu vinauma sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moyo na roho yangu vinauma sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkombozi, Aug 14, 2011.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Sijui wewe unajisikiaje.Bila kubadili katiba na kua na tume huru ya uchaguzi,2015 kuna chama hata kama kitaweka Jiwe kwenye ugombea wa ukuu wa nchi bado jiwe litashinda.Katiba na tume huru vimesuasua sana.Tusipokua makini,tuwe tayari kushuhudia ungumu wa maisha kupita huu wa sasa baada ya 2015.Roho na Moyo vinaniuma sana,sijui wewe.Maisha ni magumu sana kila kukicha heri ya jana,sukari ni zaisi ya elfu mbiri sasa.Wakuu nchi yetu ya TZ inaelekea kuzimu,hali mbaya sana,tuamke,tumejisahau sana.Mungu ibariki TZ
   
Loading...