Moyo mweupe kabisa kwa hili la kumpongeza Kafulila, na mimi nampongeza Magufuli

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Kama alivyosema kwa moyo mweupe bila unafiki anampongeza mh david kafulila kwa kupigana kufa kupona kuhusu IPTL

Na mimi nampongeza kwa kuwafikisha mahakamani watuhumiwa na nimwombe tu asimvumilie yeyote

Sijawahi kukupongeza lakini leo naandika uzi wa kukupongeza umetuma meseji kwa wana wa uvinza kumrudisha david kafulila katika ubunge

Wale waliomwita tumbili uwashuhulikie

Lakini pia nimegundua ulipokuwa mbunge uliogopa kuitwa msaliti wa chama na kumtaka kafulila alisimamie kidete swala la escrow

Wanasema sisi wa kaskazini ni wagumu kukupongeza lakini leo nimekupongeza mh rais magufuli

Ila punguza kuzuia siasa maana kwa hili hatutakupongeza kamwe sisi tunaojielewa

Maana nasikia Trump leo Katoka nje ya kikao kilichokuwa kinajadili masuala ya Africa kisa tu viongozi wa Afrika hawajielewi

Heshima kubwa kwa david kafulila
Waliokubeza na kuhakikisha haurudi bungeni sasa ni aibu juu yao

Naomba mnipe taarifa yule aliemuita tumbili yuko wapi
2ceeed79c3639ae2eb6f4ed853078b11.jpg
 
Lakini yule jaji alie tupa kesi ya Kafulila huyu huyu alimpandisha cheo. Bado mna msifu kwa lipi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom