Movies zinazopendwa na wana ICT

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115

Ingawa wengi wetu wamekuwa wakifikiria sisi wana ICT tunaongoza kwa ubusy na hatuna muda wa kufuatilia mambo mengine,ukweli ni kuwa hilo sio kweli.Kuna wakati tunakuwa na muda wa kufanya mambo kadha wa kadha.Kwa wale walio site,mara nyingi hujiburidisha kwa miziki na movies pindi wanasubiria kifaa kirudi kwenye hali yake ya awali.


Binafsi pindi nimeboreka au mambo hayaendi ipasavyo kimbilio langu la kwanza ni kuangalia movies,kuna mtu aliwahi kuniuliza kwanini sio kuchat? Jibu linakuja unapoangalia movie pia unasoma kitu fulani ndani yake.

Swali linakuja,je ni movies gani watu wa ICT hupenda kuangalia? Au wewe kama mwana ICT je umevutiwa na movie gani ambayo ndani yake kuuna mambo mengi yanayohusiana na ICT? Swali hili lina majibu mengi ambayo yanategemeana na mtu husika.

Binafsi ninapenda sana kuangalia movies zenye masuala ya hacking au mambo ya uchunguzi wa masuala ya kompyuta(Computer forensic) kwa sana na ifuatayo ni orodha yangu.


one-point-o-2004-horror-movie-review-21293405.jpg

One Point O - Hii ni moja ya movie ambayo biniafsi niliiangalia zaidi ya marambili ili kung'amua kila kitu kilichomo.Inaelezea mambo ya maprogrammer,niliipenda jinsi geek alivyokuwa akifanya mambo yake.


untitled%281%29.bmp

24 Hours - NImeipenda hii movie jinsi jamaa wanavyodili na teknolojia mpya,Cisco waliweka dola kibao ili kudhamini hii movie , sisi vijana wa Cisco wengi huwa tunavutiwa pindi tuonapo watu wakicheza na matechnolojia.


51V+RE0KPpL.jpg

Live Free or Die Hard" ("Die Hard 4") Synopsis:- Ndani ya hii movie nilipenda pale jamaa walipovamia system za US na kuanza kuzima kila kitu haswaa pale walipoanza kujiongozea taa za barabarani ili kuruhusu maharamia kukamilisha mambo yao.

Mengi ya kusisimua ndani ya hii movie ila kunua kitu nimejifunza,inabidi uipende fani yako ili uweze kufanya vizuri kwenye hiyo fani.

Je wewe umevutiwa na movie ipi ambayo ndani yake kuna masuala ya ICT? sio lazima iwe ya nje hata kama nyumbani tuna movies zilizohusisha mambo ya ICT basi imwage dimbani na kutueleza umevutiwa na kitu gani ndani ya hiyo movie.
 
kaka kuna FIREWALL,
hapo nmevutiwa na muv nzima frm mwanzo had mwisho,japo ckufurafshwa sn jinsi familia ya programa ilivyotekwa ili jamaa awafanyie mchakato wa kuhamisha hela ktk bank hucka.
 
NImeipenda hii movie jinsi jamaa wanavyodili na teknolojia mpya,Cisco waliweka dola kibao ili kudhamini hii movie , sisi vijana wa Cisco wengi huwa tunavutiwa pindi tuonapo watu wakicheza na matechnolojia.
nyie vijana wa CISCO kivipi?
 
hahahaha,kaka huwa naaangalia Muvies wakati system imetulia na Users wanaitumia bila bughuza,lakini eti ndio kitu kimesizi n then nichek Muvies!!!?Kaka chakula na usingizi vyenyewe unasahau,Nisipingane na wewe Mdau it depends uko una Manage system ya namna gani,Isije ikawa ni Internet Cafee ambayo hata Housegal Uki Mtrain anasonga nayo
 
nyie vijana wa CISCO kivipi?


anamaanisha ni watu waliosomea CISCO programs... anyway ngoja niiweke kirahisi ukitaka kuwa GURU wa network bac hakuna lingine la kufanya ni kusoma mitaala inayoitwa CCNA, CNNP na nyingine kibao... na hizo zote ni mitaala ya CISCO.... ooh nimekumbuka kumbe sijakwambia nini maana ya CISCO. ok CISCO ni kampuni inayojishughulisha na teknolojia ya mawasiliano ni imeanzishwa na wanandoa wawili wanaotoka katika mji wa francisco na ndio msingi wa jina la CISCO.... he kumbe sijajitambulisha ... anyway i am CCNA graduate... lol
 
1. ANTITRUSTAngalia Trailer hapa

IMDb Video: Antitrust

Nzuri sana, Reminds me of the battle between Free and Open Source VS Closed Source. While watching ask yourself - who is Gerry and who is Milo (in the current I.T industry).. im sure its easy to tell.

1. BIG BANG THEORY (SERIES)

the_big_bang_theory-11756.jpg


Ha Ha Haa ! Yani hawa wananichekesha mnoooo. Kwanza girlfriend wangu ndiyo alinifanya niangalie (sasa hivi anajiuliza if she did the right thing) Kwa sababu i Cant stop Watching it !! Very funny, Sio watu wa I.T tuu wangalie -hata watu ambao sio mageeks wataielewa.

B.P (2010)
 
BrainPower
i second you. ANTITRUST = anti-microsoft. yule bosi ni Gates everything. Big bang theory pia ni nomaaaa. i Love it. sheldon na amy kwenye season 04 ni balaaaa..
to add a few, kuna THE MATRIX, BOURNE zote..
 
Operation SWORD FISH ya John Travota!!!,wanatengeneza worm ya kuhack world bank,hutaingalia mara moja,ingawa ya muda mrefu sasa!!!
 
anamaanisha ni watu waliosomea CISCO programs... anyway ngoja niiweke kirahisi ukitaka kuwa GURU wa network bac hakuna lingine la kufanya ni kusoma mitaala inayoitwa CCNA, CNNP na nyingine kibao... lol
mkuu unatupiga changa la macho....sio lazima ujue product za CISCO ndio uwe guru wa networking......
 
Operation SWORD FISH ya John Travota!!!,wanatengeneza worm ya kuhack world bank,hutaingalia mara moja,ingawa ya muda mrefu sasa!!!


i concur with u the movie rocks... beside johnny is fantastic when it comes to "GODfather" kind of movies
 
i concur with u the movie rocks... beside johnny is fantastic when it comes to "GODfather" kind of movies

Naomba nishare movie zinazohusu wana ICT ambazo ninazipenda mimi, japo nyingine nahisi zinaweza zisipatikane bongo lakini unaweza ukazidownload kupitia mitandao mbalimbali ikiwepo pia torrent sites kama thepiratebay.

1.The Italian Job (2003)
View attachment 18023

2. Hackers (1995)
View attachment 18024

3. The Net (1995)
View attachment 18025

4.Pirates of Silicon Valley (1999)
View attachment 18026

5. Enemy of the State (1998)
View attachment 18027

6.Live Free or Die Hard (2007)
View attachment 18028

7. Untraceable (2008)
View attachment 18029

8.Swordfish (2001)
View attachment 18030

9. 23 (1998)
View attachment 18031

10. WarGames (1983)
View attachment 18032
 
Kuna movie moja hivi imenitoka jina,sijui ni wired vile au sio(though nimeigoogle haijatokea),humu ndani jamaa walikuwa wanafanya test zao wakawa wanapandikiza chip kwenye ubongo na kuanza kutuma matangazo live.Ila kuna hacker wawili waliweza kutrack mpaka wakamuokoa jamaa kwa kutumia Keyboard. Inaitwaje hii movie kama kuna aliyeiwona.
 
Kuna movie moja hivi imenitoka jina,sijui ni wired vile au sio(though nimeigoogle haijatokea),humu ndani jamaa walikuwa wanafanya test zao wakawa wanapandikiza chip kwenye ubongo na kuanza kutuma matangazo live.Ila kuna hacker wawili waliweza kutrack mpaka wakamuokoa jamaa kwa kutumia Keyboard. Inaitwaje hii movie kama kuna aliyeiwona.
Wanakuja watu kukutajia subiri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom