Movies za zamani ambazo ni nzuri sana

mimi kijana mdogo sana 1996 nimepata akili 2000 expernc na movies 2005 cna cha kusema kwa next genration tutawambia fast and furious 1-7
 
Unamaanisha nini movie za wadosi...sisi wazee lugha za vijana zinatupiga chenga kidogo.
By 90s kumbi nyingi za movies zilikuwa zikionyesha sinema toka India na sio kama iliyokuwa kabla ya hapo ambapo kulikuwa na mchanganyiko wa sinema sehemu mbalimbali duniani.
 
japo ziko black and white, kuna movies zina akili na waigizaji mahiri sana. jaribu udownload bluray na utafute subtitles kutoka subscene.com harafu uenjoy movie hizi kali.

1. gone with the wind 1939.kwanza hii ndiyo the best selling movie of all time. hakuna iliyowahi uza kama hii. ina bonge la love story.
2.casablanca 1942. kama unapenda love story huwezi kuwa hujawahi kusikia hii.
3. the treasure of sierra madre 1948. movie nzuri sana ya adventure. jamaa watatu walienda mexico kuchimba dhahabu. full kusalitiana.
4. seven samurai 1954.ni movie ya kijapan. ni moja kati ya best movies za mapigano.
5.the godfather 1972. al pacino alikuwa junk na bado hajawa na mdomo mchafu. inaelezea maisha ya mafia.
6.the good, the bad and the ugly 1966. inazungumzia maisha ya wild west. ni moja kati ya triology za clint east wood. movie poa sana. zingine tutaweka badae. kama nawe umewahi cheki na kupenda movie za long share nasi.
Dr.NO- James Bond
The Party - Peter Sellers
Escape from Sobibor- Steve Macqeen
 
mimi nmeangalia za kizungu nyingi kuliko chache za kihindi. moja ya movie ninayokumbuka ni ile ya anorld na jini. sikumbuki jina lake.
By 90s kumbi nyingi za movies zilikuwa zikionyesha sinema toka India na sio kama iliyokuwa kabla ya hapo ambapo kulikuwa na mchanganyiko wa sinema sehemu mbalimbali duniani.
 
Nimekumbuka huu uzi baada ya kucheki hii movie ya 1954. Movie nzuri sana.

Poster_of_the_movie_Ride_Clear_of_Diablo.jpg
 
Bila malipo.


Kitambo sana.

"Bwana Kashande unabahati kwa kutohukumiwa kwa kosa la jinai"😀😀.

"Kameza kadogo Patrick, tutatosha kweli?"

Nyingine.

"U-na-taka kumnya-ng'anya nyumba?"
"Kwani yake? Utaenda mjini, utapanda gari, hupendi?"
 
Kuna movies za Indiana Jones
Indiana Jones and the raiders of the lost ark 1981
Indiana jones and the tempo of doom 1984
Indiana Jones and the last crusade 1989. harrison ford na sea connery.

Kuna nyingine imetoka 2008, indiana jones and the kingdom of the crystal skull. hizi movie huwa sichoki kuangalia.b

Bila kusahau from russia with love 1963, sean connery.

Umeisahau AIR FORCE 1 mhusika ni Harrison Ford kacheza kama Mr. President
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom