Movies za zamani ambazo ni nzuri sana

Mohammed Saidi; kuna movie moja ya Draculla ilioneshwa Paramount Cinema miaka ya 65...ilianza kwa kuoneshwa kaburi kwa mbali likavutwa karibu halafu likapasuka na damu kuanza kumiminika....na music wa kutisha...nakumbuka karibu nusu ya watu walitoka nje.
 
max1234161273-frontback-cover.jpg


1973, hii movie hunifurahisha sana. kama kawaida, John Wyne kauzu lakini kiongozi na strategist mzuri sana. cc MALCOM LUMUMBA.
 
hatari 1962. hii movie kali sana. imechezewa Arusha na ina maneno mengi sana ya kiswahili. ni mchanganyiko wa action, comedy, romance na adventure. John Wyne yupo ndani.

film-hatari2.jpg
 
The Big Trail 1930. inaelezea magumu waliyokuwa wanapata wazungu wa mwanzo kusettle huko Marekani. ndiyo maana Trump roho inamuuma kuona watu wanaenda kuchuma kirahisirahisi. movie nzuri sana.
hqdefault.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom