Movies gani latest (2018)umeshaziangalia??

Kwangu mimi ni:
Game over man
Dear dictator
Acts of vengeance
Till death do us apart
Na nyingine nilizozisahau na nyingine zipo still kwenye downloads..
Hapo hakuna movie ya mwaka 2018 zote ni za 2017 labda hiyo ya Game over man maana ni ya Netflix

Hizo nyingine ni za mwaka jana ila kwa vile walikosa nafasi ndio wana release mda huu

Msimu wa muvi kali bado haujaanza unaanza kuanzia April mpaka june

Na ndio maana unaona hata hiyo Black Panther ilitakiwa kuwa released November 2017 ila wakapeleka mbele mpaka mwaka huu 2018
 
Okay.

Maze Runner The Death Cure.
Kickboxer Retaliation.
Braven.
 
Back
Top Bottom