Movie Zangu Za wikiendi

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Pole na mihangaiko ya hapa na pale ili kutafuta chapaa Tusogeze maisha basi wikiendi baada ya bata ni movie

list ya movie zangu za wikiend hii ya jumapili

A Gangster A Cop and Devil : ni movie ya wakorea katika hii movie utaona namna ambavyo polisi na kundi la wahuni walivyoshirikiana kumtafuta muuaji Muuaji wanamkamata lakini hawana ushahidi wa kutosha Hapo sasa.. itafute utaja niambie

Suicide squad 2021
jolt 2021
Rampart
Vivo Animation
Vanquish
Misfit
Quiet place 2
Jungle cruise
Atomic blond
take it back

list ni kubwa Ebu ongezeeni wadau na nyie maanis movie zote ya 2021 ninazo mpaka pc inatetemeka

muwe na wikiend njema
 
Kama unapenda animation na hujaicheki LUKA itafute
 
Yaani wewe dogo uzi zako mbovu sana
Alafu najiulizaga hauwezi weka cover hata ya hiyo movie

Rudi facebook
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom