Mukuu123
JF-Expert Member
- May 7, 2019
- 319
- 1,221
Aisee kuna movie nilikuwa naangalia leo ya Kikorea inaitwa Kingdom ni movie ya series nimeangalia season ya kwanza nimependa sana namna ilivyo wameni impress kuzidi kuwafuatilia zaidi ebu naomba mjaribu kunitajia movie zingine za kikorea nazoweza ziangalia ambazo ni kali pia ,ziwe series tafadhali