Movie ya soz ujinga mtupu

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
593
1,544
Habari wanajamvi, nimewaletea mada hii kuhusu baadhi ya movie za ulaya na asia.

Kuna hii movie inaitwa soz, nijikite wakati wale wapelelezi wawili wanamfatilia profesa. Walibain kuna mtu anamwinda professa pia wakaamua wamkamate ila cha ajabu wakati mpelelezi mmoja anapigana na huyu jamaa, mwenzie alikuwa bize anaongea na demu kwenye simu.

Hata mwenzie alipoomba msaada aligeuka tu kimasihara akaendelea na simu. Ukiangalia hii movie inaonesha mapambano dhidi ya ugaidi. ni ajabu mtu anaehusika na utengenezaji mabomu anaondoka askari wanaleta mzaha.

Najua hii ni idea ya director na naona kabisa alifeli katika hili.
 
Tuliozoea kuangalia picha za mizimu tumeelewa au tusubiri part two..??
 
Ujinga ujinga mtupu. Mission zenyewe zimekaa kitoto sana.


Kitu kama strike back🔥
Siku hzi ni kama hakuna series tu.
 
Kipindi imetoka ilikua inasifiwa sana sa siku nimekuja kuangalia sikumaliza hata episode 1 nikaona ni upuuzi mtupu, Yani niangalie Lastship af nije niangalie na Soz.
 
Mnaangalia vitu nonsense kabisa.

Angalia X, Pilau, chonda, na magrupu yako yawe haya

Screenshot_2021-09-06-23-20-16-87.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom