Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 593
- 1,545
Habari wanajamvi, nimewaletea mada hii kuhusu baadhi ya movie za ulaya na asia.
Kuna hii movie inaitwa soz, nijikite wakati wale wapelelezi wawili wanamfatilia profesa. Walibain kuna mtu anamwinda professa pia wakaamua wamkamate ila cha ajabu wakati mpelelezi mmoja anapigana na huyu jamaa, mwenzie alikuwa bize anaongea na demu kwenye simu.
Hata mwenzie alipoomba msaada aligeuka tu kimasihara akaendelea na simu. Ukiangalia hii movie inaonesha mapambano dhidi ya ugaidi. ni ajabu mtu anaehusika na utengenezaji mabomu anaondoka askari wanaleta mzaha.
Najua hii ni idea ya director na naona kabisa alifeli katika hili.