Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,879
Hii Movie Inaelezea Jinsi London Itakavyo Kuja Kufall
Inaonyesha Katika King'amuz cha Star time Chanell Ya Tabibu 116
Inaonyesha Katika King'amuz cha Star time Chanell Ya Tabibu 116
Afu Uyu Jamaa Anapenda Ku act Sana Movie Za Dizain Hiihyo cha mtoto kuna nyingne ipo olympian has fallen
ipo kama hyo kabisa na main charactor ni huyo kama sijakosea
ingekua kwetu angekua ashatekwa mchocheziAfu Uyu Jamaa Anapenda Ku act Sana Movie Za Dizain Hii
Waiter Zungusha Tena
aseehNa ita fall kweli!
Lady Diana!aseeh
Lady Diana!
Anyway karma ipo!
Lady Diana!
Nadhani WHITE HOUSE DOWN ni kali zaidi... Napenda pale F22 Raptor zinapotumwa kwenda kulipua ikulu ya Marekani.hyo cha mtoto kuna nyingne ipo olympian has fallen
ipo kama hyo kabisa na main charactor ni huyo kama sijakosea
labda walibadili jina ila nakumbuka jinaa hloNadhani WHITE HOUSE DOWN ni kali zaidi... Napenda pale F22 Raptor zinapotumwa kwenda kulipua ikulu ya Marekani.
Niende Shule Nikagundue Nin......??Hivi shule zinafunguliwa lini muende zenu
Walibadili jina kivipi mkuu?!labda walibadili jina ila nakumbuka jinaa hlo
ndege hzo zilipita jiran na office starring jina nmesahau akazishuhudia kwa macho
Hiko chuma ni shiida aiseee, jamaa walikamua ikulu nzima, walikuwa na misumari ya kutoshaaaa!Nadhani WHITE HOUSE DOWN ni kali zaidi... Napenda pale F22 Raptor zinapotumwa kwenda kulipua ikulu ya Marekani.
Tatizo Jemmy Fox(Mr President) kacheza comedy kibao as if sio rais bana...Nadhani WHITE HOUSE DOWN ni kali zaidi... Napenda pale F22 Raptor zinapotumwa kwenda kulipua ikulu ya Marekani.