Movie ya kusoma namba ndiyo ipo part 2 leo imeanza

Na imeanza patamu.

Stelingi msaidizi jioni hii katoka kusema umeme usipande bei wafanyakazi wake usiku huu wamekata umeme.

Kesho kukikucha sijui itakua imefikia wapi.
 
Mleta mada nadhani kama sio mchaga ww basi ni small house ya mliyemteu.....mwanaume kamili hauwezi kuwa na maneno ya kike namna hiii!
 
Duuuh jombaa utafanya kesho pilau lini palie. ...subir skuku ziishe. ...
 
Na imeanza patamu.

Stelingi msaidizi jioni hii katoka kusema umeme usipande bei wafanyakazi wake usiku huu wamekata umeme.

Kesho kukikucha sijui itakua imefikia wapi.
Sisi kwetu umeme upo
 
AAndika vizuri wew
E="Pdidy, post: 19111994, member: 8433"]Babakokasomanamba
Mamakasoma
Kwaniniiwee naniiusiiisomee??[/QUOTE]
Andika
 
Sisi kwetu umeme upo
Hapa ninapokaa eneo ambalo naona umeme upo ni Tanhouse, Maisha basement naona taa zao bado zinamulika, Abla Hotel and Apartments, Khana Khazana,
 
Hapa ninapokaa eneo ambalo naona umeme upo ni Tanhouse, Maisha basement naona taa zao bado zinamulika, Abla Hotel and Apartments, Khana Khazana,
Russian Embassy au Switzerland Embassy karibu na Reginal Mengi. ..umeme upo
 
MAULANA MOLA WETU RHABUKA NI MWAMINIFU KWA TAIFA LETU milele. ..heri ya mwaka mpya ndugu zangu watanzania wenzangu. ..mbarikiwe sana katika mema yote. ..Amen RA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom