" MOVIE STAR" waswahili wa Bongo kumwita "STELINGI" ni sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

" MOVIE STAR" waswahili wa Bongo kumwita "STELINGI" ni sawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LE GAGNANT, Mar 26, 2011.

 1. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Maneno mengi ya Kiswahili yametoholewa kutoka lugha za kigeni, lakini hili la "stelingi" kwa kumaanisha kinara wa filamu, limetoka wapi?
   
 2. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,533
  Trophy Points: 280
  mkuu ili si jukwaa muafaka kwa hii topiki yako.
  Peleka jukwaa la sports and entertainment!

  Mods tafadhali peleka hii kitu kunakohusika!
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kabla ya kuanza kuanzisha threads angalia inahusu nini na wapi mahala pake............yaani masuala ya movie za kibongo(upuuzi mtupu) unatuletea kwenye siasa?
   
Loading...