Movie Scene Filamu ya Kitanzania

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Huyu mdada nadhani wengi mnamfahamu..hata kama ni kazi mhh,hizi scene zingeachiwa mateenager
DSC08375.JPG
 
yaani siku hiyo moja wakaka 2? maana naona nguo hiyohiyo, eneo hilo hilo, ila wakaka 2 tofauti.................. ni uigizaji, au?
 
Hii sehemu ni ngumu sana,inafaa kuchezwa na watu ambao ni impotent(man who is erectile disfunction)!vinginevyo balaa linaweza kutokea kafla bin vu!!
 
Kweli kwa mtu uliye mzima haiwezekani hata kama kuna camera man! ah!

Unatoka pale suruali imevimba kinoma ah wapi! Hizi si kazi zetu bora tuigize baba na mama za kwetu
 
inategemea na imani yako,kama ukiweka akili yako kufanya ngono au ktk mawazo ya kishetani kweli utashindwa,tunajua kila mtu ana matamanio yake binafsi ila saa nyingine jitahidi kuyashinda majaribu,la sivyo kila ukimuona njiani na utandawazi huu na mivao yao utakuwa unamchora ndani alivyo na unamweka akilini siku ukimpata itakuwa balaa,jaribu kuona kama hakuna kipya chini ya jua,maana sasa sijui utatamani wangapi kama sio kupenda.
 
Nduguyangu hata kama kuweka mbali matamanio, lakini umeiona picha yenyewe?
kama ni igizo basi ni la mapenzi, na wanazungumzia mapenzi, je. Kwanini usivimbe suruali au hayo maneno uanyozungumza na huku umeshika sehemu kama hizo unayatengaje?
Huajwahi ona watu wanaigiza msiba na kweli wanalia? kama hivyo hapo je?
 
Kumbuka mostly limtokalo mtu ndilo aliwazalo. kama unazungumzia mapenzi na ili script ipendeze lazima uoneshe hisisa za ndani, Hapo ndo hatari kwa mkao ule inapoanzia
 
Nduguyangu hata kama kuweka mbali matamanio, lakini umeiona picha yenyewe?
kama ni igizo basi ni la mapenzi, na wanazungumzia mapenzi, je. Kwanini usivimbe suruali au hayo maneno uanyozungumza na huku umeshika sehemu kama hizo unayatengaje?
Huajwahi ona watu wanaigiza msiba na kweli wanalia? kama hivyo hapo je?
Lol balaa lakini,ila usijali kama una mume/mke/mchumba/rafiki wako wa kimapenzi weka akili kuwa mwandani wako ni mzuri kuliko huyo na weka hisia kali sana kwa mwandani wako,kama huna hapo sasa ndio inabidi msimamo wako na hisia zako utaziwekaje,shinda majaribu tu japo ni ngumu na inategemea na akili yako,maana sio wote watakuwa wana hisia kama zako japo sawa ni asilimia kubwa watashindwa kustahimili,ila wapo wataweza na wenye msimamo japo ni wachache.
 
Kwa hapo sikubali weeeeeeee!:nono:

Anatakiwa awe single tu ili aendelee
....Tafuta movie inaitwa Jasson Lyrics umuangalie Jada Pinket shughuli anayofanyiwa humo na ni mke wa Will Smith....nadhani ungekuwa ni wewe ungekufa kabisa!!:bowl:
 
kama ni kazi, basi inahitaji msuli msuli wa uvumilivu. maana kwa hilo pozi!!!!!!! mh!!!!!!! sijui!!!!!!
 
Ukianza kufikiria ngono kwenye set basi hufai kuigiza.

**Ndio maana waigizaji wanaoana wao kwa wao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom