Movie Reviews

King movies nipo around, nina movies za kutosha, mpya na usiwahi kuziona, full HD, 720p mpk 1080p unaona hadi chunusi, wazee kuna vitu vinatoka mpk unatamani ziwe series *****
 
Kuna kitu kitu Cha Alpha,Night comes for us,A-X-L,22 mile,Rampage,Skycriper,Final score utojutia Mbs zako
Hapo sijaona kama tatu hivi. Rampage, final score na night comes for us. Alpha imeisha kindezi Sana, 22 mile nahisi part 2 inakuja
 
Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona, tunazotaka kuziona. Karibuni.

Tuanze na Hangover 2.
Kwa mujibu wa Rotten Tomatoes naona critics wengi wameiponda, binafsi sijaiona bado kwa hiyo siwezi kutoa reviews mpaka nitakapoiona ila nitaweka baadhi ya comments kutoka Rotten Tomatoes wale mlioiona mnaweza kuchangia zaidi.

I can't believe how precisely everything does happen again, except that what was fresh and surprising in Las Vegas turns rancid and predictable in Bangkok, where yet another wedding is scheduled to take place. Joe Morgenstern Wall Street Journal
Full Review

One of the most uninspired and unoriginal sequels you'll ever see. Or not see, if you're lucky. Richard Roeper
Richard Roeper.com
Full Review

The Hangover Part II - Rotten Tomatoes
AUDIO:Nandy-Bado:Download Mp3 - KideBwayMnyamaTz
 
Joker ni super villain, hana zile abilities za super heroes, but ana ile influential power ya ku convince crimes, na he had a very bad story when he was young.
Huyu nae mzungumzia ni joker wa kweny batman.
"Why so serious?"
Ahahaaah!
Hadi leo batman the dark knight ni moja kati ya movies ninazozirudia kuziangalia,na hii ni kwasababu ya Joker.
Nilisikitika sana nilivyosikia jamaa amefariki,sidhani kama kuna muigizaji anaweza ziba pengo lake,kwasababu huyu Joker wa kwenye suicide squad hajanikosha kabisa.
 
So far, naona the Marine ya kwanza ile ya John Cena ndio the best katika the Marine frenchise, hili jipya la mpumbavu the miz na the heartbreak kid hamna lolote
 

Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom