Ya kawaida sana aiseeThe nun kwa wapenzi wa horror movie
The nun sijaielewa kabisa, huwezi hata fananisha na 666 omenThe nun kwa wapenzi wa horror movie
Hapo sijaona kama tatu hivi. Rampage, final score na night comes for us. Alpha imeisha kindezi Sana, 22 mile nahisi part 2 inakujaKuna kitu kitu Cha Alpha,Night comes for us,A-X-L,22 mile,Rampage,Skycriper,Final score utojutia Mbs zako
AUDIO:Nandy-Bado:Download Mp3 - KideBwayMnyamaTzHii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona, tunazotaka kuziona. Karibuni.
Tuanze na Hangover 2.
Kwa mujibu wa Rotten Tomatoes naona critics wengi wameiponda, binafsi sijaiona bado kwa hiyo siwezi kutoa reviews mpaka nitakapoiona ila nitaweka baadhi ya comments kutoka Rotten Tomatoes wale mlioiona mnaweza kuchangia zaidi.
I can't believe how precisely everything does happen again, except that what was fresh and surprising in Las Vegas turns rancid and predictable in Bangkok, where yet another wedding is scheduled to take place. Joe Morgenstern Wall Street Journal
Full Review
One of the most uninspired and unoriginal sequels you'll ever see. Or not see, if you're lucky. Richard Roeper
Richard Roeper.com
Full Review
The Hangover Part II - Rotten Tomatoes
"Why so serious?"Joker ni super villain, hana zile abilities za super heroes, but ana ile influential power ya ku convince crimes, na he had a very bad story when he was young.
Huyu nae mzungumzia ni joker wa kweny batman.
Trailors ziliipa kiki hii muvi ila for sure ni ya kawaida sanaHii venom ya bwana Tom Hardy haijanibamba kivile, I expected much from him
Night come for us mkuu bonge la movie.Hapo sijaona kama tatu hivi. Rampage, final score na night comes for us. Alpha imeisha kindezi Sana, 22 mile nahisi part 2 inakuja