Movie Reviews

Kila nkisoma hili jina naonaga James MacVoy
ila I have to say mzee unapataga wapi mda wa kuziangalia hizi zote au biashara yako iko kwenye hii Industry?
Hahaaaa...
I think is addiction may be.
I ought to stop now I guess.
Ila mara nyingi sisahau movie.
 
Siku ya juzi AZAM TV wamepost trailer ya movie yao mpya waliotengeneza kwa takribani miaka 6. Movie hiyo kwa jinsi ilivyotengenezwa ni kama imetumia mfumo wa CGI (Computer Generated Imagery) ambao unatumiwa sana huko hollywood na tumeona kwenye movies kama Superman, Avatar, Avengers na nyinginezo. Hii movie ya EONII ni ya kiswahili kabisa lakini cha kushangaza ina Robots na Mashine za mfano wa Robots, na mandhari yake ni ya Teknolojia na muonekano ni wa Tanzania baada ya 2061. Ni trailer kali sana. Naona hatua kubwa kwa Tasnia ya Filamu Tanzania.

"EONII" a Tanzania movie that will take Africa's film industry to another level.

 
Naomba jina la hii muvi tafadhali. Jamaa kama akili zimeyumba linaua watu kimashara
Screenshot_20230710-221258.png
 
Wadau mwenye mbadala wa netnaija atupe link, maana hali ni tete sijui ni nini kimewakuta netnaija
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom