Movie ya Sema

Bin wamakamo

Member
Dec 12, 2021
77
92
Katika movie za kibongo ambazo binafsi zilinikonga roho ni hii sema ni movie ambayo haiongelewi saaana ukiaangalia uta-enjoy nakama si mtu wa kuelewa haraka pia itakuchanganya , naweza sema ni movie bora toka afe kanumba hakukuwai kutokea movie kalii kama hii kwangu. Hii movie kacheza "Hassan Dafu r(bwana mjeshi), mr Beneficial, Ebitoke na wengine wengine hivi pongezi pia kwa dirct: timoth.

Kisanga kinaanza pale baba yake na maria ambaye ndo ebitoke, alikuwa akifanya kazi za kuua na kukata viungo vya watu, maria(ebitoke) amezaliwa na kipaji cha kuchora mambo ambayo yalitokea na yanayokuja kutokea mbele hilo ndilo likawa vita vikubwa yeye na baba yake, kwa kuwa baba yake maria aliohofia maria angekuja kujua ukweli wa biashara zake haramu na kwake ilikuwa siri.

Katika harakati za kukimbizwa na watu alipokuwa ameiba bwana mjeshi, ambaye alikuwa kijaana muhuni tu wa mtaani ndipo anaporuka fensi na kurukia katika hilo jumba ambalo alikuwa akiishi maria(ebitoke) hili kujiepusha na kipigo cha raia mwenye asila kalii.

Ili aminika kuwa mama yake wakufikia na maria ndio ameua familia yote akiwemo yeye maria mwenyewe baba yake kaka yake na watu kibao ambapo si kweli, maria baada ya kufa anabaki kuwa kama mzimu ambao unamuonesha matukio yote bwana mjeshi yalitokea katika nyumba hile na kumuomba amuahidi kuwa atasema ukweli wa yote aliyo yafanya baba yake.

Bwana mjeshi janja zake zote za kutoka katika nyumba hile ziligonga mwamba akufanikiwa zaidi aliona mauza uza tu yalimfanya mpaka akakubali kuwa atasema ukweli wa yote ambayo ameyafanya baba yake na Maria.

"inaitwa sema"
FB_IMG_16463426307388697.jpg
 
Back
Top Bottom