Movenpick hotel dar es salaam wanawanyanyasa wateja wao-imetokea jumapili katika ukumbi wa makuti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Movenpick hotel dar es salaam wanawanyanyasa wateja wao-imetokea jumapili katika ukumbi wa makuti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dr-of-three-Phd, Aug 16, 2011.

 1. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkurugenzi wa movenpick hotel dar es salaam aliwanyanyasa wateja wake,

  imetokea jumapili katika ukumbi wa makuti ambapo kulikuwa na tamasaha la uimbaji liliokusanya waimbaji wa injili maarufu wa africa mashariki; wahubiri maarufu mapacha, pamoja na mgeni rasmi balozi wa uganda nchini tanzania.

  Movenpick walichokifanya si ustaarabu kabisa na kama hivyo ndivyo, watawakosa wateja wengi katika kumbi zao.

  Haya ndiyo maeneo ya malalamiko yetu sisi tuliokuwepo kwenye ukumbi:

  Kwanza, walijua tukio hilo litakuwepo kwa vile wahusika walifanya booking na kulipia,

  pili, walipokea hela halali kwa malipo halali ya gharama halali zilizopangwa na wao wenyewe,

  tatu, watawala walijua hilo na waliweka vipeperushi kuelekeza watu wapi tukio la aina hiyo linafanyika, iweje waonekane wanawapigia kelele wateja wengini ilhali hiyo hali ilishajulikana mwanzo wakati wa kufanya maandalizi na malipo yalifanyika kwa tendo hilo?

  Wanaofikiri kufanya hivyo kwa mara nyingine pale movenpick fanyeni makubaliano kwanza kuhusu muziki na sauti yake.

  Nawatakia kila la kheri wadau wote wa matukio kama haya ya movenpick.

  Mdau wa matukio
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mweeh! kumbe mlienda na wahubiri na muziki ?
   
Loading...