Moved: MBONA JK HAJATEMBELEA WIZARA YA NISHATI NA MADINI?

Kingo

JF-Expert Member
May 12, 2009
855
390
Katika ziara alizofanya Rais Kikwete katika wizara mbalimbali, nilitegemea Wizara ya nishati na madini angeipa kipaumbele kutokana na uzito wake na mchango wake katika maendeleo ya taifa. Ukitathmini mchango wa madini na nishati hasa kwa kipindi hiki kigumu cha uchumi wa taifa sijajua ni sera au kigezo gani anatumia kuiepa hii wizara. Je kuna sababu yoyote muhimu ya kuitembelea mwishoni baada ya wizara nyingine? (au hatoitembelea kabisa kwasababu keshatembelea TANESCO?)
Ni mtazamo tu.
 
Una uhakika??????
Nakumbuka ndio wizara za mwanzo mwanzo kutembelewa ila haikupewa publicity ya kutosha.
Nakumbuka zilitoka picha za waziri akisoma report na Rais akawaambia wizara isiingilie utendaji wa TANESCO.
 
Katika ziara alizofanya Rais Kikwete katika wizara mbalimbali, nilitegemea Wizara ya nishati na madini angeipa kipaumbele kutokana na uzito wake na mchango wake katika maendeleo ya taifa. Ukitathmini mchango wa madini na nishati hasa kwa kipindi hiki kigumu cha uchumi wa taifa sijajua ni sera au kigezo gani anatumia kuiepa hii wizara. Je kuna sababu yoyote muhimu ya kuitembelea mwishoni baada ya wizara nyingine? (au hatoitembelea kabisa kwasababu keshatembelea TANESCO?)
Ni mtazamo tu.

Kwani humjui JK ni zima moto yule.
 
Inawezekana umejiunga jana au leo jf! Niliwahi kupost hoja kuwa KUPIGA PICHA MSAFARA WA RAIS NIKOSA? Ndani yake nikieleza kuwa kikwete alikuwa wzr ya nishati na madini!!
 
Back
Top Bottom