Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 351
Yuel kocha machachari wa Inter amesaini mkataba wa miaka mitatu kukiongoza kilabu bingwa nchini Itali-Inter Milan. Atatambulishwa mbele ya vyombo vya habari na mashabiki kesho. Kwa wapenzi wa Chelsea, kuna habari kwamba Mourinho ameweka wazi kwamba target yake ni kumsajili Michael Essien na huenda Drogba na Lampard wakafuatia japokuwa pia kuna habari kwamba Chelsea wamemuongezea Lamps dau hadi kufikia pounds 130,000/= ili abaki.