MoU- Wataalam wa sheria tuelimisheni

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wataaam wa sheria

Binafsi ni mwakateniki zaidi. Naweza kutumia google laini napend nipate maelezo meppesi kwa wataalam wetu wa sheri hapa JF yanaweza kutusaidia wanajamvi wengi. Huku wakitolea mifano mbali mbali mbali kama bila kuingiza Siasa wala Dini.

Nimesema bila kuingiza siasa sababu nimepata swali hili maana nimekua naona malamiko na utetezi juu ya Mou kati ya Kanisa na Serikali ya JMT.So naomba wataochangia hapa na kulenga issue hiyo waondoe politacl and religiues views wabaki na legal view.

Sasa baadhi ya maswali yangu ni

  • Mou ni nini? Na sifa zke ni nini yaani Ili kitu kiitwe Mou kinatakiwa kuwaje.
  • Nini kinapelekea Mou Kuandikwa
  • Ni mambo gani yanaadikwe kwenye Mou na yapi yasiandikwe
  • Anayetaiwa kuandika Mou ni Nani
  • Kisheria mahakamani inatambulika na kukubalika
  • Inakuwaje kama ilionekana katika Mou kuna mambo yanakiuka katiba

Nawasilisha.
 
MoU ni Muhimbili orthopedic Unit ila pia yaweza kuwa memorandum of understanding :croc:

Lol siyo hiyo NN naua unatania . na aksante walau kathread hata kakifa katakuwa kamepata reply

Hii nayoongelea hapa ni ile Inakwenda wa kirefu cha Memorandum of Understanding?
 
its a good thread, educative and critical at the time.

Wana jf wanasheria hebu elimisheni hapa.

MoU! Ni nini?
 
Back
Top Bottom