Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

cover.jpg
 
At least now we are going somewhere. Can you scan the contents? Especially those which you were talking about last time. Ili tuone hizo contents zake tujadili wapi makosa yamefanyika if any.
 
STAY TUNED BAADA YA WIKI2 AU 3 HIVI MTAONA MAGAZETI YANAKUJA KUNYOFOA TOKA HUMU jf BILA KUTOA CREDITS KUWA SOURCE YA HI DOC NI JF
 
Last edited:
Game Theory,

..safi sana mkuu.

..sasa usiishie kulalamika tu.

..andika MOU kati ya serikali na Bakwata au Shura ya Maimamu ili Waislamu nao wafaidike.

.
 
GT,

..kazi gani tena?

..kila kwenye jina la taasisi ya Kikristo unaweka jina la Bakwata au Shura ya Maimamu.

..this is a chess game my friend.

..serikali imejiingiza "mkenge" kusaini MOU na taasisi za Wakristo, now they have to do the same kwa Waislamu,Mabohora,Baniani etc etc.

NB:

..naona umemtupia kidongo Edward Lowassa kuwa ndiye signatory kwa niaba ya serikali.

..kukumbusha tu, hiyo MOU ilisainiwa wakati ambapo Alhaji Mwinyi, na Alhaji Prof Kighoma Malima[r.i.p], wakiwa kwenye baraza la mawaziri.

..haiyumkini serikali kuingia mkataba mzito kama huo bila BARAZA LA MAWAZIRI kutaarifiwa.
 
Spoken like a PRO

mzee this should be word of the day

mzee hapo umezungumza neno zito sana na halina mbadala

kila mmoja anatakiwa a hustle kivyake
 
Game Theory,

..kila mtu anaweza ku-hussle kivyake vyake.

..lakini tukikutana na Mungiki au Banyamulenge lazima tusimame pamoja kama wa-Tanzania.

..tatizo ni kwamba kuna wenzetu wakiona Mungiki ni Mgala basi wanaona huyo bora kuliko Mtanzania mwenzake.

..wengine nao wakiona Banyamulenge kafuga madevu basi wanaona ana thamani kuliko Mtanzania mgala.
 
Last edited:
sasa hii memorandum naona imejikita zaidi katika provision of elimu na afya, sasa maafa yake kwa uislamu ni nini? kwamba hizo shule na hospitali na za wakristo pekee yake au? maana kama kule peramiho ile hospitali ni ya wote na inatoa huduma kuliko hospitali za serikali, ukienda Njombe utakuta hospitali za walutheri etc, na sasa hivi Pengo alikuwa anajenga shule Rufiji je hizi zote ni juhudi za kuwaonea Waislamu? Bagamoyo kuna shule ya Marion Girl's na kuna watoto wa wakubwa wengi tu wanasomo huko na ni waislamu, je aliye iweka au kuwaruhusu waislamu kusoma huko kafanya kosa? Nakuomba ndugu yangu pale penye kitu kizuri tukiseme kibaya tukiseme, tusije panda hii mbegu ya ubaguzi haito tupeleka kokote.
Kwa Mfano kuna watu wazuri tu na ni waislamu mimi nina waheshimu na kuwapenda kwa matendo yao eg Marehemu Prof Harub, kuna Prof Shivji, na kuna wakristu wabaya wabaya kweli kweli na mimi ninawapinga kwa matendo yao kama Raisi Mstaaafu BWM na wengineyo wenye matendo kama yake.
 
Back
Top Bottom