Mtoto wangu anaakili sana nimegundua anaweza kuongoza

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Nimegundua nchi ya watu Wa amani wanaweza kuongozwa na mwanangu ,,,maana anaakili kubwa sana na vipimo vimefanyika ,,,vipimo au kipimo hicho ni hiki,,,mwanangu Jana na Leo nilitoka kwenda job,,Jana akaniagizia filimbi,,sikuleta maana sikupata,,nilivorudi tu home akaniuliza filimbi iko wapi,,nikamwambia hakuna huko dukani ,akaniambia kama hakuna nimletee nimletee pipi nikamwambia sawa,,bati sikumletea akaniuliza pipi take nilivorudi nikamjibu ukila pipi utaoza meno,,so nzuri akaniambia kama sio nzuri mbona wanauza?
 
Jina nililompa ni benazir,,maana ni wakike
 
Hakikisha anagombea 2020 tumpe kura zetu maana msimu uliopita tuliingia choo cha matahira!
 
Back
Top Bottom