Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Kafunga mziki kulingana na ukubwa wa shughuli

Angepiga nyundo kama zile za futi 6 au zile za kazini ingekuwaje?
hahahaha futi 6 mbona punch nyepesi Sana ..kweli nyie machali wa dar hamjui kutofautisha lines za hip-hop . Mtahitaji darasa la kutosha
 
Mamaqee chizi wenu kapotezwa mbayaa

Yani ile distrack sio imediss tu, ime mdharilisha dogo aka chali yenu chugan housegirl , imemvua kila kitu.

This is hip hop,,ina touch in every thing.
Unaandika mipasho kumdhalilisha mchizi baada ya kukuchana ukweli. Pmawenge ni bonge moja la WAKI.
 
hahahaha futi 6 mbona punch nyepesi Sana ..kweli nyie machali wa dar hamjui kutofautisha lines za hip-hop . Mtahitaji darasa la kutosha
Punch nyepesi zile au kwasababu haujachanwa wewe?

Ebu angalia ndugu yako alichokiimba hapa kisikilize halafu unisaidie kucheka, jamaa ni bonge la wack kaimba track ya hovyo vina vibovu bora hata ile ya dear god ya jeremiah kuliko hii garbage halafu kwa pozi naye kaiita eti dirty version

Unaandika mipasho kumdhalilisha mchizi baada ya kukuchana ukweli. Pmawenge ni bonge moja la WAKI.

Unataka kujua nani waki, mcheki mc huyu ambaye ni mshehereshaji kafanya kama alichofanya motra kakosa beat tu ila angeweza kumficha mchizi wako
 
Punch nyepesi zile au kwasababu haujachanwa wewe?

Ebu angalia ndugu yako alichokiimba hapa kisikilize halafu unisaidie kucheka, jamaa ni bonge la wack kaimba track ya hovyo vina vibovu bora hata ile ya dear god ya jeremiah kuliko hii garbage halafu kwa pozi naye kaiita eti dirty version

Amekopi na kupaste idea ya pastor mmoja wa kikenya....hizi dalili tosha za kuwa Hana uwezo
 
Yaani nimecheka kinoma kuona jamaa kafanya ngoma yenye Title la kutisha ila kilichoimbwa ndani hakieleweki

Sasa huyu ndo walitaka watu wamjibu kama kundi si ingekuwa aibu

Kwanza kathibitisha kua hata ile diss aliamdikiwa na ilikua ni project ya muda mrefu
 
Sure aisee
 
Sijui nini wewe? Umeskiza ngoja za KRS 1 siku au miaka ya hivi karibuni?

Wamejibu wqngapi? Uyo Pmawenge na uzoefu wake kwenye game anatoa diss ya kishamba vile..

Umeskiza #HAUTAKI? mpka sasa Motra anawakimbiza machizi wamepanick wanaimba matusi
Sielew shida yako nn si u lum ete either link au jina la wimbo unazungukazunguka nn sasa??
 
Heshima ya pmawenge inazidi kushuka, badala ya kufuata ushauri wa Motra ..yeye anajikuta konki ana rap mipasho na diss ya kishamba ..Motra bado anakimbiza katoa ajira hadi kwao kikosi kazi sasa wana kazi ya kumjibu mwamba.

Mwambie ni uyo chali mawenge atulize akili askize vizuri #WEUPE na #HAUTAKI ili ajue ni wapi ana kosea maana kwenye game yuko kitambo eti leo anashindana na Motra ...huo ni uduwanzi.
What a trashhhhhh....
 
Hujui hip hop wewe, alichokifanya p mawenge ni wasanii wachache sana wenye uwezo wa ku delivery message kwa hidden code iliyo pangilika

Halafu sijajua kwanini mpaka sasa umeshindwa kututajia hiyo trap ya krs
Anatopoka tu temana nae
Tatizo ya machalii wengi wa arusha wanajiona hiphop while they knw nothing n by nothing i mean nothing at all about hiphop
Kuvaa vile visuruali vya kubana na ile.mibushori wanajiona wao na ma krs1 wao ndo ma naughty by nature
Ona kama huyu mwana kumsifia motra tu kwa ile track means he knw nothing about hiphop but sababu motra ni wa chuga basi kaishikia bango
 
Code gani wewe? Kuna code yeyote au ni mipasho tu?! Bado hajajibu ile #WEUPE diss ..anachofanya ni kumuattack kwa matusi kiss kachanwa ukweli na nyie ma fans zake mlivyo na wenge kama ndugu enu ..amskizi ngoma vizuri basi mnajaa tu kizembe..

Kwa mfano kwenye ile ngoma ya #WEUPE Motra amemtukana nani mule zaidi ya kuwachana tu? Sasa kama uyo pmawenge anashindwa kuelewa rhymes za mchizi na kumu attack kwa matusi huyo tunamtoa kwenye kundi ..siyo emcee mwenye misingi.
Yeye katukanajwe??enlight me
 
Ukweli gani? Kwanini asingepita moja kwa moja hadi atumie mistari mipasho ..mf kumuita mchizi wife, sijui nini mabwana zako ..huoni kma ni mipasho Hiyo?

Jamaa kadhihirisha ana mawenge atulize akili ajib diss ya Motra
Kwahyo shida yako ulitaka p aandike unavyotaka ww sio??
Ddnt knw u r this s.t.u.p.i.d
 
Hip Hop ya Kibongobongo huwa inabadilika maana kutokana na kinachojadiliwa ni kipi na sio kipi kinamaanisha Hip Hop kwa ujumla.

Binafsi nayaona mapengo mengi kwa namna Harakati za Hip Hop zinavyotambulishwa kufanyika maana nyingi vitendo na uhalisia ni tofauti.

Matokeo yake wanatengenezwa mashabiki wa wanaojiita wana Hip Hop na sio mashabiki wa Hip Hop yenyewe na kila kilichomo.

Tukija katika hizi DISS TRACK Zinazoendelea kutoka juu ya WAFUASI WA WEUPI NA WA TAMADUNI MUZIK au WA KIKOSI KAZI. Hii yote ni zao la mashabiki wengi kutokuijua Hip Hop zaidi ya qanabaki kushabikia hao wanaHip Hop.

Kitu Kikubwa na Chakukikazia ni Namana Gani au nini maana ya nguzo ya Hip Hop ya MAHARIFA inavyoweza kuwasilishwa katika utamaduni wa Hip Hop.

Kwa upande wangu nimeweza kumuelewa ODWANG ODWA zaidi na nadhani DissHii ilikua iishie kwake, jaribuni kumsikiliza tena... Ukija kwa Motra bila kuathiri uandishi na upangaji wa maneno, ila Track yake ilihitaji majibu na ndio kinachofanyika ila je anajibiwa yeye au hoja zake.?

Hip Hop ya Bongo hata Niki Mbishi akimuandikia mashahiri dogo janja, yataonekana hayana vigezo vya Hip Hop labda mwandishi ajulikane ni nani? Ndipo tulipo.

Hip Hop sio RAP na Upangaji wa maneno pekee, MASSAGE ndio kila kitu hata ikiwasilishwa kwa maongezi... Harakati hazikua zakupigania haki za kupangilia maneno na vina katika Rap bali ni ukombozi na kila mtu kwa nafasi yake alitumia style yake iwe kwa kucheza, kuchora na kuandika kwenye kuta Madai ya haki zao na hawakuandika Hip Hop Never Die.

Hoja nyingi zinaonesha Motra hajafanya Hip Hop kutokana na kutokujua kuiandika na kuipangilia...

SWALI LANGU, KULIKUA NA ULAZIMA GANI WA KUJIBU MAKOSA?

TRACK YA MOTRA ILISHAISHA CHAJI WEEK ILEILE ILA KUENDELEA KUIJIBU NI SAWA NA KUANIKA BETRI JUANI.

KNOWLEDGE NDIO KILA KITU KATIKA HIP HOP.
Boss hata nyimbo za bolingo zina message
Think better
Hiphop has its own way kuanzia uandishi mpaka uwasilishaji
Motra is ajust a rapper kama ally choki na wengineo all they do is rapping
 
Hip Hop ya Kibongobongo huwa inabadilika maana kutokana na kinachojadiliwa ni kipi na sio kipi kinamaanisha Hip Hop kwa ujumla.

Binafsi nayaona mapengo mengi kwa namna Harakati za Hip Hop zinavyotambulishwa kufanyika maana nyingi vitendo na uhalisia ni tofauti.

Matokeo yake wanatengenezwa mashabiki wa wanaojiita wana Hip Hop na sio mashabiki wa Hip Hop yenyewe na kila kilichomo.

Tukija katika hizi DISS TRACK Zinazoendelea kutoka juu ya WAFUASI WA WEUPI NA WA TAMADUNI MUZIK au WA KIKOSI KAZI. Hii yote ni zao la mashabiki wengi kutokuijua Hip Hop zaidi ya qanabaki kushabikia hao wanaHip Hop.

Kitu Kikubwa na Chakukikazia ni Namana Gani au nini maana ya nguzo ya Hip Hop ya MAHARIFA inavyoweza kuwasilishwa katika utamaduni wa Hip Hop.

Kwa upande wangu nimeweza kumuelewa ODWANG ODWA zaidi na nadhani DissHii ilikua iishie kwake, jaribuni kumsikiliza tena... Ukija kwa Motra bila kuathiri uandishi na upangaji wa maneno, ila Track yake ilihitaji majibu na ndio kinachofanyika ila je anajibiwa yeye au hoja zake.?

Hip Hop ya Bongo hata Niki Mbishi akimuandikia mashahiri dogo janja, yataonekana hayana vigezo vya Hip Hop labda mwandishi ajulikane ni nani? Ndipo tulipo.

Hip Hop sio RAP na Upangaji wa maneno pekee, MASSAGE ndio kila kitu hata ikiwasilishwa kwa maongezi... Harakati hazikua zakupigania haki za kupangilia maneno na vina katika Rap bali ni ukombozi na kila mtu kwa nafasi yake alitumia style yake iwe kwa kucheza, kuchora na kuandika kwenye kuta Madai ya haki zao na hawakuandika Hip Hop Never Die.

Hoja nyingi zinaonesha Motra hajafanya Hip Hop kutokana na kutokujua kuiandika na kuipangilia...

SWALI LANGU, KULIKUA NA ULAZIMA GANI WA KUJIBU MAKOSA?

TRACK YA MOTRA ILISHAISHA CHAJI WEEK ILEILE ILA KUENDELEA KUIJIBU NI SAWA NA KUANIKA BETRI JUANI.

KNOWLEDGE NDIO KILA KITU KATIKA HIP HOP.
2nd
When t comes to disstrack not necessarily ukajibu kilichoandika
Dis is dis mtu unatoa mapungufu ya upande wa pili u dont stick kwenye hoja au point zake
Huyo motra kadis alivyodiss na wao watamdis kivyao
Usiwapangie jinsi ya kufanya
Kama motra ameanzisha ugomvi wa mawe kwenye nyumba ya kioo acha alinywe
 
Punch nyepesi zile au kwasababu haujachanwa wewe?

Ebu angalia ndugu yako alichokiimba hapa kisikilize halafu unisaidie kucheka, jamaa ni bonge la wack kaimba track ya hovyo vina vibovu bora hata ile ya dear god ya jeremiah kuliko hii garbage halafu kwa pozi naye kaiita eti dirty version

Dah aiseee nimecheka balaa
 
Back
Top Bottom