Motor gani nzuri inafaa na speed kwenye kinu size 75 rola 3

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wana member
MSAADA NATAKA kununua Motor sijajua hizi za kichina zipi nzuri. Ana SIZE NA SPEED GANI ifungwe kwenye kinu SIZE 75 Cha kusaga na kukoboa ROLA tatu. Kiwanda kitasaga na kuuza unga na pia kuwasisha vikapu.

MSAADA wa haraka tafadhali

Mwenye mahindi anione fikra hizi adhimu
 
Msaada member mbona mpo kimyaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom