Elections 2010 Motokeo ya urais kuwa hivi, slaa kapata 23.7%

PayGod

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
1,259
57
















KURA
%




P. Mziray
80,830
1.1




J. Kikwete
4,535,063
62.2




W. Slaa
1,727,583
23.7




I. Lipumba
649,642
8.9




H. Rungwe
18,250
0.3




M.MUHANYWA
11,801
0.2




F. Dovutwa
9642
0.1




Zilizoharibika
252,367
3.5




Zilizopigwa
7,285,367
100.0



 
VIVA la Jk...because of the actions ambazo ni zahiri kuwa ni za wizi na dhuluma kitaifa na hasa jimboni segerea...inahatarisha amani ya tanzania..wananchi wa kizazi hichi tumesoma na tuna elimu,tuna uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo....TISS is involved so is NEC and CCM....
Naomba nitoe pongezi za dhati kwa wezi waliobobea na kwamba hatma ya nchi ilikua mikononi mwao..kutokuwa na busara na hekima,wanatuletea kenya nchini...sii vema kung'ang'ania mwanamke ambae hakutaki....huwezi tawala wanchinchi ambao hawakutaki kwani haata kueshimu na kukutammbua
 
Baada ya wizi wote apate 62%! Siamini mimi nategemea kati ya 65-71%. Kama ingekuwa huru na haki mtu asingekatiza 51%
 
7 000 000 out of 40 000 000?????????? what ridicolous is this??

President to win for 4m??? NEC this is not fair wengine wameenda wapi??
 
7 000 000 out of 40 000 000?????????? what ridicolous is this??

President to win for 4m??? NEC this is not fair wengine wameenda wapi??
Correction registered voter where +19,000,000 so 7,000,000 who turn up are just 37% that leaves 63% those who did not turn up 10% passed away RIP, 10% EPA and Fisadis without guts who went abroad with Slaa fear n fever, 10% are hospitalized and attending spiritual consultation, 7% have been detained and jailed for their wrong doing, 4% where not around during registration period, 12% they vote registration cards where bought by fisadis, 3% lost their cards, 0.7% where drunk and having visited nyumba ndogo, 5.6% have been transfer both international and national 3% yellow people who hide indoors afraid off Ras Makunja's with their 20 kilos violent stopping gears and 1.7% miscellaneous and absent minded people with no reason whatsoever.:A S angry:
 

HAPO MM NAKUBALI NA MASHABIKI WA SLAA WANYAMAZE KWANI HERI HATA MREMA ALIMBANA MKAPA MWAKA 1995 KWA 28% MH. MWL NYERERE KUMSAIDIA LABDA ANGEPANDA LKN KUVUKA 49% ASINGEWEZA YEYE KAKUBALI JE? NAWAULIZA DR SLAA LEO ATAKUWEPO WAKATI WA KUAPISHWA RAIS WETU? AU NI HASIRA HAMUIGA SEIF SHARIF?
Nipelekeeni salamu kuwawaliomchuuza akakosa kura za urais ni wanachama wake waliomgeuka wakampa JK, kwa MWAKYEMBE walimuahidi watampa lakini Ubunge hapati ni kwanini asiamini Jimbo la HAI, IRINGA MJINI, KIGOMA KASKAZINI wanaweza mpa Mbunge wake na Urais wapinzani wakampa JK?
NAOMBA TUKUTANE 2020 SASA TUKUBALI YAISHE UBISHI NI UTUKUTU HAKUNA KITAKACHOBADILIKA
UKIMUONA SIMBA KAKENUA MENO NA KUCHEKA NDIO HIVYO HIVYO ATAKAVYOKUUA RAIS AKISHAAPISHWA FUNGENI MJADALA NA MATOKEO















KURA
%




P. Mziray
80,830
1.1




J. Kikwete
4,535,063
62.2




W. Slaa
1,727,583
23.7




I. Lipumba
649,642
8.9




H. Rungwe
18,250
0.3




M.MUHANYWA
11,801
0.2




F. Dovutwa
9642
0.1




Zilizoharibika
252,367
3.5




Zilizopigwa
7,285,367
100.0



[/QUOTE]
 

Attachments

  • image001.png
    image001.png
    23.2 KB · Views: 30
7 000 000 out of 40 000 000?????????? what ridicolous is this??

President to win for 4m??? NEC this is not fair wengine wameenda wapi??

Mkuu stay tunee, since numbers don't lie tutaona mengi baada ya zoezi hili kuhitimishwa CCM na serikali yake as usual are not smart.
 
hatari watu wanaongeza mijinamba tu basi....................nadhani hizi kura zilipigwa b4 ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom