Motokeo darasa la saba kulikoni? Mbona yamecheleweshwa?

Kyatile

JF-Expert Member
Feb 5, 2017
1,576
1,395
Ndugu wanaJF,

Tumezoea baada ya mitihani ya darasa la saba inachukua mwezi mmoja matokeo kutoka. Lakini mwaka huu matokeo yamezidi kiasi hicho cha muda na hakuna tetesi. Kwa kuwa JF ni sehemu iyosheheni watu wenye taarifa mbalimbali naomba niulize, matokeo yanategemewa kutoka lini?

Najua humu kuna wafanyakazi wa baraza la mitihani na wanaweza kutusaidia.

Asante.
 
aiseee kweli dunia inaenda kasi sana
Jf inatumika mpaka na watoto wahimu wa darasa la saba
Kwa hiyo kila anayeuliza matokeo ya la saba ni mhitimu? Umeconclude kwa kutumia misingi gani?

Muda fulani ni bora kutokuandika chochote.
 
Nenda kamuulize Msonde atakupa majibu
wacha kujaza saver za JF kwa mambo madogo kama hayo

Wewe ndo unajaza server kwa kuandika mambo bila kufikiria.

This is the HOME OF GREAT THINKERS.

Before you decide to utter anything here remember to use your potential to the maximum.
 
Nenda Necta kaulize wanatoa matokeo lini
Tuko bize na uchumi wa kati usituchanganyie habari

Humu JF huwezi pata jibu

Unaona sasa unapokosea wapi nimesema nataka hayo matokeo?

Nilikujibu wewe ulivyokosea kusema kila anayeuliza matokeo ni mhitimu.
 
Aiseee kweli dunia inaenda kasi sana.

Jf inatumika mpaka na watoto wahimu wa darasa la saba
Unashangaa wahitimu kuwa humu ushangai wajinga kama wewe kuwa humu? Hujui kuwa wadau wa matokeo ya darasa la saba ni wengi? Walimu, mameneja wa shule binafsi, wamiliki wa shule binafsi nk. Maana matokeo haya yana impact katika mipango ya shule hasa shule binafsi
 
Bila shaka watayatoa kabla ya Christmas. Vuta subira.

Siku hizi uharaka wa matokeo ya standard 7 umepungua mno. Shule nyingi zinatahini na kujaza nafasi za form I bila haja ya kusubiri matokeo ya Std7
 
sawa mwelevu
wewe ambaye ni mdau mpe majibu huyo mtoa mada matokeo kwa nini yamechelewa na yanatoka lini
Unashangaa wahitimu kuwa humu ushangai wajinga kama wewe kuwa humu? Hujui kuwa wadau wa matokeo ya darasa la saba ni wengi? Walimu, mameneja wa shule binafsi, wamiliki wa shule binafsi nk. Maana matokeo haya yana impact katika mipango ya shule hasa shule binafsi
 
Halafu bwana mdogo ujiangalie sana
Sisi ndio wenye JF! chagua maneno ya kutumia unakutana na mabro zako
Unashangaa wahitimu kuwa humu ushangai wajinga kama wewe kuwa humu? Hujui kuwa wadau wa matokeo ya darasa la saba ni wengi? Walimu, mameneja wa shule binafsi, wamiliki wa shule binafsi nk. Maana matokeo haya yana impact katika mipango ya shule hasa shule binafsi
 
Habari wakuu

Habari zinazoenea kwa kasi zaidi ya 5G ni kwamba ufahulu kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka huu si mzuri na hauendani na awamu hii ya tano

NECTA imeamua kujifungia kimya huku ikiendelea kupika matokeo ili tu ufahulu uonekane kupanda

Nini matarajio ya tukio hili

Matarajio ni kwamba, shule za serikali zinaenda kuongoza ufahulu kitaifa katika mitihani hii, Private schools zijiandae kisaikolojia
 
Halafu ikifika formfour waliofeli wakiwa wengi lawama abebe mwalimu?
 
Tulikuwa tunasimamia uchaguzi tunasubiri baraza jipya la mawaziri tumjue Waziri wetu atupe mpango tupitishe Wengi hata yule ukimpa 75-36 hawezi!! Au tukaze then tuanze kumark mkuu!!!
 
Back
Top Bottom