Motokali Inahitajika !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Motokali Inahitajika !!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Akili Unazo!, Feb 17, 2011.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,799
  Likes Received: 2,477
  Trophy Points: 280
  Waungwana kuna rafiki yangu yuko mkoani hana connection na mtandao kwa hiyo katika ongea naye ndio akanigusia juu ya uhitaji wa gari kwa ajili ya kumsaidia mke wake mambo ya hapa na pale ikiwa ni pamoja na kumfikisha kibaruani kwake. Sasa ameniomba nimsaidie kumtafutia nami najua humu jamvini kuna watu wakila aina ya msaada hivyo nawasilisha kwenu.


  • Bajeti yake ni 4.5m hadi 5.0m
  • Aina ya gari-yoyote mke wake anayoweza kumudu hata akiwa pekee yake i.e fuel consumption na upatikanaji wa vipuli.

  wako msaada wenu!!
  Asanteni
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,044
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  Mkuu ile Starlet ulishainunua?
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Apande kidogo nimpe GX100 kwa 7m
   
 4. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,799
  Likes Received: 2,477
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo haiwezi kabisa na kama alivyokwisha weka bajeti yake haizidi hicho alichokiweka hazarani!!
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Haya bana sin nyongeza
   
 6. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Unataka motokali au motobaridi?!!!
   
Loading...