Kwa Kumbukumbu
Mtaliano Andrea Ionane wa team Ducati ameweka rekodi mpya ya kwenda kasi katika MotoGP huko Mugello Itali mwishoni mwa wiki iliyopita pale alipweza kwenda kasi ya km 349.6 kwa saa.
Rekodi iliyovunjwa ilikuwa ikishikiliwa na Dani Pedrosa "Respol Honda" aliyoiweka mwaka 2009 ya km 349.288 kwa saa, katika uwanja huo huo.

TT inatisha! Kuna wakati asasi kadhaa huko UK zilishinikiza kuvutwa kwa hiyo road racing.
Jamaa wanakimbia kinoma, na lazima wana nidhamu ya aina yake, zaidi unaweza kusema vichwani wamedata.Jamaa wanakimbia sana asee, kasi wanayokwenda nayo sidhani hata MotoGP huwa wanaifikia
Kibunango nilikuwa nafuatilia sana hii motogp lakini kuanguka kwa VSLENTINO ROSSI "donkey" kumenitoa kwenye huu mchezo ila dogo MARQUES anaweza kunirudisha kwenye huu mchezo.....kwenye michezo mingi mimi huwa napenda kuwe na SI UNIT........
Mkuu hapo kwenye SI Unit umenifurahisha sana!Kibunango nilikuwa nafuatilia sana hii motogp lakini kuanguka kwa VSLENTINO ROSSI "donkey" kumenitoa kwenye huu mchezo ila dogo MARQUES anaweza kunirudisha kwenye huu mchezo.....kwenye michezo mingi mimi huwa napenda kuwe na SI UNIT........
Yap.. Moto3 ilikuwa na msisimko kama kawaida yake na hasa katika kutafuta nafasi ya pili... Mdogo wake MM kashinda, hii familia ni noma kwenye MotoGPWakuu Mupoo?
Naona Le Mans inaendelea hapa though sijapata muda wa kuifuatilia, MotoGP nayo haiko mbali kwenye Circuit de Catalunya, madogo wa Moto3 ndio wanaanza hapa
cc; RRONDO Kibunango, Pazi, BelindaJacob Bulldog
Yap.. Moto3 ilikuwa na msisimko kama kawaida yake na hasa katika kutafuta nafasi ya pili... Mdogo wake MM kashinda, hii familia ni noma kwenye MotoGP
Ntaangalia marudio au youtube