Hizo photocopy ndiyo rahisi kucheza nazo maana kama original document haipo, chochote utakachopewa itabidi ukubali. Kwa hiyo bado kuna kazi kama watu tunategemea photocopy.Ninaomba serikali itueleze inakuwaje kuhusu haya mambo, lakini pamoja na hayo nataegemea kutakuwa na backup (Photocopy) amabzo zinahifadhiwa sehemu nyingie, hivyo sidhani kama limeharibika neno hapa.
Ili Naitaji kikwete ajieleze please kama hilo Jengo limeungua jamani
Damn...!Ili Naitaji kikwete ajieleze please kama hilo Jengo limeungua jamani
..sahihi kabisa!Jana usiku nilikuwa natizama channel 10 na walikuwa wanaleta live moto uliokuwa ukiwaka kwenye jengo la Ushirika pale Lumumba Street Dar. Kwa kuwa naishi maeneo ya karibu na hapo nikaamuwa kwenda kujionea live. Nilipofika hapo nilikuta kweli kuna moto mkubwa kwenye hilo Jengo kwa upande wa kushoto (ukiwa lumumba unalitazama hilo jengo) na moto ulikuwa unawaka chini na magari mengi ya zimamoto yalikuwepo hapo na ulinzi mkali wa askari na silaha ulikuwepo hapo. Nilichoshuhudia mimi kwa macho yangu ni kuwa moto ulikuwa ukiwaka upande wa kushoto, chini, na si upande wa kulia juu ambapo ndio ninavyohamu kuwa zipo ofisi za brela. Sikukaa sana, kwa hiyo sijuwi kama waliweza kuudhibiti huo moto usiendelee kufika upande wa kulia wa jengo na kuwa umefika kuunguza ofisi za brela. Mimi nilopokuwepo hapo, hata ile bank ya CRDB iliyopo chini ilionekana kuwa haijashika moto kwa wakati huo. Ilikuwa majira ya saa saba na nusu za usiku na nilikuwa hapo mpaka saa nane za usiku.
Ninashukuru kwa ufafanuzi. Inasaidia kutoa mwanga kuhusu suala hili hasa kwa sisi tuliopo porini...sahihi kabisa!
..na haukuenea sehemu nyingine. kwahiyo BRELA haijaungua na itakuwa vizuri watu wakiacha ku-speculate kuhusu brela na hujuma dhidi yake!
..moja ya sababu za moto kuwaka kwenye hilo jengo siku za nyuma ilikuwa ni hitilafu za umeme. nadhani hata safari hii inaweza kuwa hivyo.Ni hivi sehemu iliyoungua ni wing ya kushoto ukiwa unaliface jengo la ushirika,huko kuna ofisi mbalimbali za watu binafsi na chuo cha ushirika moshi,upande zilipo ofisi za BRELA na CRDB hakuna moto wowote uliofika bali masizi ya moshi wa moto huo.Na leo hakuna huduma zozote zile kutoka BRELA kwani HAWANA umeme!!Yaani na umuhimu wake wote eti BRELA wanasimama kufanya kazi kwa vile tu standby generator (hata ya kichina) haipo.Nimekuta pale watu wengi sana wako stranded hawajui biashara zo zitaenda vipi kwani BRELA pamefungwa.Just think ni mapato kiasi gani yanapotea leo hii kwa kufungwa kwa BRELA kwa "sababu zilizo(?) nje ya uwezo wao (ukosefu wa UMEME)!!!".
Sio kikwete kama mlinzi wa Majengo siku hizi, haiwezekani Ofisi ziungue wakati huu wa skendo kibao kakaDamn...!
Kikwete kawa mlinzi wa majengo siku hizi?
BASI ITABIDI WACHOME OFISINYINGI SANA TUU.....Nimepokea taarifa kuwa Ofisi za Brela zilizopo Dar zimeungua moto. Wenye taarifa zaidi kuhusiana na suala hili tunaomba watujulishe pamoja na extent of damage.
Nashukuru kwa kututoa wasiwasi, lakini usiwalaumu sana wale unaosema wana - speculate kwani nchi hii ambayo viongozi wake ni mafisi mafisadi lolote lawezekana ili kupoteza ushahidi, kwani wameshashtuka japo kwa mbali kuwa WTZ hawaukubali ukondoo...sahihi kabisa!
..na haukuenea sehemu nyingine. kwahiyo BRELA haijaungua na itakuwa vizuri watu wakiacha ku-speculate kuhusu brela na hujuma dhidi yake!
Thread title change made. Thx!..mods,
..dotori,
..hiki kichwa cha habari ni vyema kikasomeka "moto wawaka jengo la ushirika,lumumba" au vingine vizuri zaidi.