Moto wa waka - finland (+358) kuhusishwa na sms za uchochezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto wa waka - finland (+358) kuhusishwa na sms za uchochezi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by SITAKI, Oct 12, 2010.

 1. S

  SITAKI Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya wadau wa technologia na TCRA kuhangaika kwa siku kadhaa, baathi ya wadau wamegundua kuwa number iliyotumika possibly niya Finland.

  mchakato unaandaliwa kuwasiliana na network za finland kutatua tatizo hili.

  asanteni wadua kwa kulivalia njuga. mmmh sasa watakoma....!!!
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sound tuu mbona wataumaji wanajulikana!
   
 3. F

  Future Bishop Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sina hakika sana kama aliyetuma kweli yuko Finland na kuwa hiyo namba ina exist huko. Nimejaribu kutoa maoni yangu kwenye thread nyingine na kueleza kama ifuatavyo;

  "Ngadema nafikiri watu wa IT wanaweza kusaidia katika hili. Inawezakana aliyetuma yuko Tanzania na hayuko Finland with technology anything can happen. Ukiwa unatumia skype kwa mawasiliano yaani toka skype na kuongea na watu wenye simu (kwa kununua skype credit) unaweza pia kutuma message. Na ukituma message anayepokea ataona inatoka kwa mtu ambaye hajamsave kwenye simu yake. Simu inayopokea message kutoka skype itaonyesha skype name ya huyo mtu aliyetuma. Kwa hiyo kama skype name yangu ni future.bishop anayepokea message yangu kutoka skype itaonyesha imetoka kwa future.bishop na haitaonyesha namba yoyote. Kwa hiyo kama nikicreate skype name ya namba ya finland na nikatuma message kupitia skype utakachoona ni hiyo namba ambayo ndiyo itakuwa skype address yangu".

  Hii inawezekana tu kama unaweza kutumia namba za simu kama skype name.
   
 4. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  With ROAMING option one could be in TZ and use Norway number!!!!!! Do not you think is wastage of time?
   
 5. S

  SITAKI Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nimeongea na mtaalam mmoja wa telecoms and IT akaniambia:
  1. huenda kweli mtumaji yuko Finland
  2. Huenda mtumaji anafanya Roaming
  3. Huenda anatumia Skype
  4. au mitandao hapa hapa - lakini hii ni ngumu hakuna atakaye ruhusu mtandao wake utumike hivyo
  5. Jamaa mwingine amesema kuwa msg centre ni +255 which means ni hapa hapa - lakini hii si kweli msg centre inaonekana tu kama mtu amekuforwarding ujumbe na haionekane kwenye original ujumbe uliotumwa.

  labda wenzetu watatusaidia
   
 6. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  sishangai maana hao finland wamezindua tawi lao la CCM juzi kati hapa.:llama:
   
 7. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hii message imetokea hapahapa bongo na sio nje ya nchi. Njia waliyotumia kutuma ujumbe huo ni kompyuta. Mitandao mingi ya simu inatumia kompyuta pia. So unaweza tuma meseji toka kwenye kompyuta kwenda kwenye simu. TCRA bado kama wako serious wanaweza kujua ni kupitia kompyuta gani ujumbe huo ulikoanzia. Wanaweza kujua kwa kufuatilia codes ambazo kila kompyuta inatoa kila inaporusha meseji kwa intaneti.
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Maelezo mazuri na ya kitaalamu; what about +255 nayo atakuwa imo ndani ya skype address yake?
   
 9. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi ninawasiwasi Chadema wanahusika na hiyo msg sidhani kama CCM wanaweza kufanya hivyo kwakuwa CCM ni chama kikongwe na wamekomaa kwenye siasa. Sisemi kama hawana mbinu za kisiasa lakini sio za namna hiyo.

  Chadema ni chama kinachopigiwa kelele kwa maswala ya udini na ukoo ( watu wa familia moja kuongoza chama na kupeana ubunge wa viti maanlum ) pengine wameamua kutumia hii mbinu ili watu wahamishe mawazo yao kuwa chama hiki kina harufu ya udini.

  Haya ni mawazo yangu binafsi maana sote tumeumbwa na akili zetu na sitegemei kwakuwa sipo na baadhi ya watu kwenye hili mkanichukia.\

  Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Oct 12, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Title ya thread haiendani ni content yenyewe.
   
 11. M

  Msavila JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2010
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 404
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Tuwe wa kweli ITU-T inadhibiti matumizi ya namba katika mitandao ili kuzuia fujo na kwa usalama wa nchi zenyewe. Uroam au usiroam hiyo namba imesajiliwa Finland na inaweza tu ikapatikana na muhusika pia. Japo Finland wameadopt mobile number portability, bado , enadapo mtumaji ametumia simu ya mkononi, kupatikana is amatter of time and no longer an if issue.
  Namba zinazotumika si za mkononi bali zinatoka katika mji wa OULU Finland.
  Hili si swala la skype. Moja ya sababu ya kupigwa vita skype na mataifa yenye nguvu za kijasusi ni scrambling ya messages kiasi kwamba mtu wa katikati hawezi kutambua kiurahisi ujumbe uliopo. Lakini sheria za internet, packet source na destination address hujulikana la sivyo hazitaweza kupita kwenye mtandao.
   
 12. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwani ulikuwa unaongea au unaandika?
   
 13. g

  grandpa Senior Member

  #13
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Crap!
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe Sokomoko huo ujumbe umeusoma au Umeamua kuwa mropokaji?

  Yawezekana chadema wajidhoofishe wenyewe kwa kumkashifu mgombea wao wa URAISI?

  GROW UP !!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani hata kama mtumiji katumia kompyuta bado ukweli unabaki kampuni ya simu aliyotumia kuandika huu ujumbe :

  • Ni Ya finland
  • Kampuni ni ya nchi nyingine lakini mtumaji aliwai kujisali au kuishi finland. na hivyo kupewa number ya kifinish.
  Wanaojua au ambao wametumia za huduma za kutumia sms kwa njia ya kompyuta watakuwa wanaelewa.

  Wanaosema ni ROAMING wajirizishe kuona ni vp roaming inafanya kazi. Mtumiji hawezi kufanya ROAMING kwa number ambayo haimiliki.

  Number hii ingekuwa ni ya nchi kama Norway ingekuwa rahisi sababu nimesoma watu wa norway number zao zote ziko online. tembelea Telefonkatalogen™ - Persons
  Yaani ukiwa norway kwa kujua number unaweza kujua inamilikiwa na nani au kwa jua jina unaweza kujua anamiliki simu numbe ngapi na anakaa maa gani. mhhhh Dah

  Finalnd sio rahisi lakini kuna website ukitaka mora information kuhusu number fulani au mtu faulani unatakiwa ulipie. http://www.phonebookoftheworld.com/finland/white-pages.asp


  Naamini Taasisi kama TCRA wakiwasiliana na wenzao wa finland wanaweza kupewa ushirikiano na kutrace muhusika kirahisi. Mtu binafsi nadhani huwezi kupata response nzuri .
  SWALI. hapa linakuja je TCRA wako tayari?Je hii inaweza kuwa issue ya priority kwao kuifuatilia? Mpaka itokee kama yale yaliyotokea utamu the utamu ndo wanashtukaga na yenyewe zilipita kama siku tatu.

  Otherwise Serikali iruhsu officialy watu wafungue private companies za kfanya upelelezi kama ilivyo makapuni binasfi ya ulinzi. Ukiwa na issue "private "kama hizi na nyinginezo unawapelekea.

  Itakuwa kichekesholakini siwezi kushangaa kampuni kama Group4 au Ultimate security kama wangeruhusiwa na wangekuwa na watu wangekuja na data kamili za number hiyo ndani ya siku mbili .
   
 16. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  What do u think ?
   
 17. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hizo ni mbinu tu za kisiasa mkubwa ushabiki usikufumbe macho....mimi sina ubaya na chama ila nina wasiwasi ni njia moja wapo ya kukubali au kutengeneza zengwe ili kuja kupinga matokeo na hizo zikawa ni sababu!
   
 18. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Thanks
   
 19. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Sokomoko kweli wewe mawazo yako yanafanana na jina lako. Ni mawazo yako tu!!!:nono:
   
 20. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mtazamaji,

  Ningelikuwa na namba yako ya simu, ningelituma ujumbe kwa watu na namba ikaonekana ni ya kwako.

  Wakati huo huo, mimi mtumaji nakula Fufu hapa Kumasi, Ghana.
   
Loading...